Husninyo
WiseLady
FirstLady
King'asti
Dena Amsi
sweetlady
na Lizzy mimi huwa nawaheshimu sana. hawa ndo waasisi wa chit chat. enzi hizo tunachat kama fb. bila hawa nilio wataja hata wewe unaye soma hapa usinge ifahamu chit chat. hawa ndo maregendare wa cc. kama ilivyo Funza dume na Kimbweka kule jukwaa la kikubwa. na mimi ninaye andika hapa ndo monitor mkuu fulu manyota vidole vya robot asiye pigwa ban na Invisible wala Paw. labda @rullete ndo anaweza nipa onyo kwa lugha ya kubembeleza. mia
hahahaha! Sdanganyiki!
Husn,kwa taarifa yako sitaki kukuona mpaka urudishe sadaka mlizokwapua wewe na The Finest!
Btw rais kaniteua usiku huu kuwa disi mpya wa wilaya ya mpwapwa,stay tuned.
:becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky:Mkuu figganigga wakati unapost ulikuwa unapata kinywaji gani :becky::becky::becky::becky::madgrin::becky::becky::becky::becky:
Arushaone asikudanganye rudi kwa Judgement yupo single tena sijui kashatoka kifungoni.Mpwapwa wanasemaje?
Asante mwaya nimepona sasa wajua tena utu uzima huo
klorokwini yuko wapi?
pokea simu bana...!
siku nyingi sana Mamndenyi. tuendelee kuwasiliana kupitia ile ile address ya mamndenyinakuzimia@yahoo.com. miss u sana. mia
Arushaone asikudanganye rudi kwa Judgement yupo single tena sijui kashatoka kifungoni.Mpwapwa wanasemaje?
Join Date : 24th October 2010Kwani huyu naye ni famous...!, mbona welcome back zimezidi..??