Utanionyesha pa kwenda! Afu honey mie hata sikuelewi, mbona umebadilika, hasira kila wakati, kama kuna mahali nimekosea plz nisamehe then nambie ntajirekebisha! Wajua siwezi kuishi bila wewe mpenzi! (machozi yanatiririka hapa)
kwani akiaga nna hasara sana unadhani? Nyumba ndogo ya mwanangu nayo napatana nayo tu. Hehehe, sunna bibie. Na wewe nna kesi na wewe, ila tutamalizana tanga.Hehehehe! Bado na mwanao uporoto01.
Upunguzege umbea mke mwenza, mkwe kaja leo tu tayari ushampokea na umbea juu juu khaaa. Ataaga tena ujue.
hahaha, yaani nimecheka hadi machozi. Ile advanced certificate of phd ya kuibia wanaume ulishagraduate? Khaaa!Utanionyesha pa kwenda! Afu honey mie hata sikuelewi, mbona umebadilika, hasira kila wakati, kama kuna mahali nimekosea plz nisamehe then nambie ntajirekebisha! Wajua siwezi kuishi bila wewe mpenzi! (machozi yanatiririka hapa)
Khaaa! Husninyo kazi anayo lol.kwani akiaga nna hasara sana unadhani? Nyumba ndogo ya mwanangu nayo napatana nayo tu. Hehehe, sunna bibie. Na wewe nna kesi na wewe, ila tutamalizana tanga.
Hehehehe! Usicheke mke mwenza, mume katanganza ndoa ipo matatani ! Najenga ndoa mwenzio wanaume wa kuoa hapa mjini wameisha ujue, nkiachika ntakuwa mgeni wa nani?hahaha, yaani nimecheka hadi machozi. Ile advanced certificate of phd ya kuibia wanaume ulishagraduate? Khaaa!
Hehehe mkwe mie sisemi kitu, manake ntaharibu. You are my xmas gift. Nna umbea kama km 1000 hivi. Inabidi tuende lindi then kigoma.
Nakushauri uendelee na msimamo wako ule ule.
Khaaa! Husninyo kazi anayo lol.
Usijali mke mwenza mie na wewe hatukosani kabisa, unibebee nguo za kuogekea tanga mie.
Mwajuma njoo uchukue vitwitwi vyako.
cheka ndugu yangu wewe umjui arushaone yeye hayuko kama wewe unavyomfikiria
we hamisi, umevikaanga au umevichemsha? Pika na ugali kabisa.
alifungwa jela,pole sana,naomba unipe story za jela sababu nilisikia habari tofaut nataka nijue,niko nafanya utafiti,hope utanisaidia
Ugali wa dona?
umejuaje! Sie mpwapwa tunagonga dona tu.
hata Manyoni dona ndo mpango mzima.