Hususani kinamama au anyone wa jinsia ya kike

kwanini uweke huko hadi mwisho wa mwaka siuweke bank kama uko serious na kusave kwani huyo mnaempa aweke kuna insurance au anaweza zama na kibubu chote
Bank zinapungua kila mwezi makato kibao, huku zinaongezeka kama fixed account.
 
Inawezekana hizo pesa za mikopo hazionekani nyumbani kwako tu.
 
kwanini uweke huko hadi mwisho wa mwaka siuweke bank kama uko serious na kusave kwani huyo mnaempa aweke kuna insurance au anaweza zama na kibubu chote

Ela za Vikoba zinakaa bank na pia Vikoba zina faida saana labda wake zenu hawawashirikishi ,mfano mimi nimeweka umeme na fensi kwa ela ya Vikoba na pia tuna mifuko ya jamii ambayo inatusaidia tunapopata shida ya dharura
 
Back
Top Bottom