Chief Kabikula
JF-Expert Member
- Jan 1, 2019
- 7,567
- 9,026
CCM wamerahisha ushindi wa Maalim Seif Zanzibar
Wao CCM wanaamini Muungano ni God's creation na kamwe hauwezi kuvunjwa na nguvu za binadamu ndiyo maana wanaulinda hata kwa damu.Ufumbuzi ni Kuvunja MUUNGANO tu ili wazanzibar wawe na rais chaguo lao.
Mkoa wa Zanzibar ni koloni la Tanganyika
Utavunjwa tu (ni muda tu ndio utaongea), hakuna mzanzibar anayetaka MUUNGANO ,hauna faida kwao zaidi ya kuwanyonya tu!!Wao CCM wanaamini Muungano ni God's creation na kamwe hauwezi kuvunjwa na nguvu za binadamu ndiyo maana wanaulinda hata kwa damu.
Kama Wazanzibar wengi hawaridhii muungano ni swala la muda tu, ipo siku tutagawana fito.Wao CCM wanaamini Muungano ni God's creation na kamwe hauwezi kuvunjwa na nguvu za binadamu ndiyo maana wanaulinda hata kwa damu.
Hujui jumla ya wajumbe wa Nec Zanzibar ni 35.Hakuna kitu cha kuogopa sasa hivi duniani kama Mwenyezi Mungu na teknolojia ,bado unataka ushahidi?Lete ushahidi kwa sababu kura zilikuwa za siri!
Hakuna hata mzanzibar mmoja anayetaka Muungano na ndio maana JMT wanafanya kila njia Rais wa Zanzibar asiwe PURE mzanzibar, Mzanzibar asilia akigombea jina lake lazima likatwe,kina Vuai wamewekwa kama geresha(Rubber stamp) tu!!Kama Wazanzibar wengi hawaridhii muungano ni swala la muda tu, ipo siku tutagawana fito.
ipo siku tutagawana fito.
Umejuaje kama hao 35 hawakumpigia kura Dr Mwinyi?!Hujui jumla ya wajumbe wa Nec Zanzibar ni 35.Hakuna kitu cha kuogopa sasa hivi duniani kama Mwenyezi Mungu na teknolojia ,bado unataka ushahidi?
Heri ni wao wenye kuuona ukweli huu. UVCCM wamezoea vya kunyonga vya kuchinja hawaviwezi. Hawaaminiki, hawana hoja zakueleweka hata kuweza kushawishi kwa wale wenye dhamana za uteuzi. Pengine dada zao angalau wataweza hata kupata ubunge wa viti maalum ili waweze kutoa usingizi kwa wazee wenye "stresses".VIJANA WA CCM TUKAE KWA KUTULIA.
Na Thadei Ole Mushi.
Kila nikiangalia hii picha ya Joshua Nasari, nikikumbuka na swali lililoulizwa na Mjumbe Wa NEC toka Songwe kuhusu wahamiaji kupewa Vyeo badala ya vijana waliopo CCM nacheka Sana.
Definitely tuache Hawa vijana wajinafasi kwa kuwa sioni ndani ya UVCCM mwenye uwezo wa kuwazidi. Nilipokuwa nasema Sana kuhusu hili miaka ya kuanzia 2017 Hakuna waliokuwa wanaunga mkono Hoja hiyo kila mtu alikuwa anaimba litania, Ngonjera,Pambio za Masifu, kupiga Manyanga nk...
Vijana wa Znz ndio mnatakiwa mlete ukombozi,wengi mnakimbia nchi yenu mnaenda ulaya kujilipua kama mashoga,ndio mnaona ufahariUtavunjwa tu(ni muda tu ndio utaongea), hakuna mzanzibar anayetaka MUUNGANO ,hauna faida kwao zaidi ya kuwanyonya tu!!
Ni koloni la ccmZanzibar ni koloni la Tanganyika.
Kuna watu mnajua kuota mchana kweupeeCCM wamerahisisha ushindi wa Maalim Seif Zanzibar
uvccm kwa sasa wanachojua ni kuteka, kupiga risasi , kutukana mtu mwenye mawazo tofauti......Yaani hawajaandaliwa kuwa viongozi wanafundishwa udikteta kwa vitendo awamu hii.Heri ni wao wenye kuuona ukweli huu. UVCCM wamezoea vya kunyonga vya kuchinja hawaviwezi. Hawaaminiki, hawana hoja zakueleweka hata kuweza kushawishi kwa wale wenye dhamana za uteuzi. Pengine dada zao angalau wataweza hata kupata ubunge wa viti maalum ili waweze kutoa usingizi kwa wazee wenye "stresses".