klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,647
- 5,145
Dah!......
Dah!......
Erick ni Mwenyekiti wa Kamati na...mmeniacha..duh!
nililala kutunza nguvu za party jioni...naomba kujua majukum ya hawa watu ktk sherehe ya Baba na Mama Jg!
Ericky
Mtei one
Amyner
shem SL
Kongs
na x-husby UP
ubwabwa unalikaje na wap na sangap?
Hahahaaaa Kongosho umenena kwenye bolded...unashangaa nini??
Leo itabidi ukashangae posta, watu wanalamba stamp wakati haina utamu.
Pole sana Shem wangu wa Ukweli....Ooh wifi, nimeingiwa na huzuni ya ghafla hapa. Nimepata simu mbaya mida hii kuwa rafiki kipenzi anaumwa na khali yake ni mbaya sana, hawezi hata kuongea....ameumwa ghafla eti amepata kajeraha kwenye kidole gumba jana na leo mkono umeparalaizi...na kufunga kauli...daaah.... Furaha yote imeyeyuka..... Nimeshtuka sana wifi angu...
Najisikia kulia jamani, wacha nilog off kwa mda nifanye maombi kwaajili yake!
Hahahaaaa Kongosho umenena kwenye bolded...
hahahaaaa duh
Pole kwa kuuguliwa na rafiki yako kipenzi. Mungu ampe uponyaji na kama ni hila za shetani basi zkateketee kwa Jina la Yesu Kristo. Amen.
Hata mimi naona yashapita Husninyo na nimekubali rasmi kuwa JUDGEMENT ni shemeji yanguYa uporoto yashapita.
Thanks bana, mie pia naamini hivyo!Pole sana Shem wangu wa Ukweli....
Usijali Mungu atamsaidia atapona tu
Teh siunajua jamaa ana gundu so kuna wakati huwa anapoteza network hajui asemalo.lolananishangaza kushangaa wenzie wanapeana raha?
Na umwambie mtei aje na zile nguo zake za mgambo ukumbini...Erick ni Mwenyekiti wa Kamati na
Amyner Ni Mweka Hazina wa Kamati
wengine
SweetLady Kamati ya Mapambo...
Kongosho Kamati ya Vinywaji
Mtei ULINZI NA USALAMA
Uporoto Kamati ya MAOMBOLEZO
Yah kiukweli SweetLady huwezi amini imeniuma sana eti utadhani namjua mhThanks bana, mie pia naamini hivyo!
Teh atakuja nazo tu hana ujanja hapoNa umwambie mtei aje na zile nguo zake za mgambo ukumbini...
Hahaha!..we konnie ndio nini kumshushua lawyer hivyo?unashangaa nini??
Leo itabidi ukashangae posta, watu wanalamba stamp wakati haina utamu.
Na umwambie mtei aje na zile nguo zake za mgambo ukumbini...
Erick ni Mwenyekiti wa Kamati na
Amyner Ni Mweka Hazina wa Kamati
wengine
SweetLady Kamati ya Mapambo...
Kongosho Kamati ya Vinywaji
Mtei ULINZI NA USALAMA
Uporoto Kamati ya MAOMBOLEZO
Hahaha!..we konnie ndio nini kumshushua lawyer hivyo?
We acha tu Erick naomba mungu amponye, afu nna kama mwezi sijaonana nae(tunaongea tu kwa simu) manake mie nilihama tulipokuwa tunaishi majirani, nikamwahidi kuwa ntaenda kumchukua aje apajue nilipohamia, sikwenda kumchukua,Yah kiukweli SweetLady huwezi amini imeniuma sana eti utadhani namjua mh
Acheni kumchafua Husninyo bana......
Hahaha, unaikana kazi yako?una laana wewe. Nani mgambo?