sweetlady
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 16,967
- 8,454
Ila leo hatujasalimiana...Mimi mambo ya kupeperushiana ndege siyapendi
Ila leo hatujasalimiana...Mimi mambo ya kupeperushiana ndege siyapendi
Teh teh Mtei atapendeza sana aisee
Kwanini usije?Hii harusi mimi sihudhirii hata kidogo
Ila leo hatujasalimiana...
Halafu hata kwenye avatal yako unaonekana kama uko vizuri kwenye hii kamati ya Ulinzi wala usijali utakuwa na wengine tu wengiMimi sio mlinzi. Achen uzush
Kwanini usije?
Nawewe ni kama Mtei na Katavi?
Namaanisha wao walitangaza live sababu ya kuinga ndoa hii kuwa walimtaka Husny ila wakagonga mwamba.sasa wewe tatizo nini??
Ukivaa za kawaida watajuaje kama wewe ni Mlinzi??Kwan nkvaa nguo za kawaida haznipendezi?
Sio karibu kivile kongosho, natamani ningeweza kwenda sahizi.....ni mpaka kesho asubuhi.. Wamemchukua kumpeleka hospital jioni hii, nimeshtuka na kuogopa sana... Inaniuma!Pole Dear,
Kama ni karibu nenda kamuone.
Ina maana tangu pakuche hajaonana??Ila leo hatujasalimiana...
Halafu hata kwenye avatal yako unaonekana kama uko vizuri kwenye hii kamati ya Ulinzi wala usijali utakuwa na wengine tu wengi
Ila leo hatujasalimiana...
Teh hapo hata ufanyaje Kamati yako ni ya ULINZI ​no more mjadala hapoWe dogo vp? Mi nimesema kuwa nitahudhuria ila ctak kamat walonipangia
Ukivaa za kawaida watajuaje kama wewe ni Mlinzi??
Umepewa majumkumu yakubali tu mseeee
Hahaha, we Erick wacha kunichekesha bana, nauguliwa na rafiki ati...Ukivaa za kawaida watajuaje kama wewe ni Mlinzi??
Umepewa majumkumu yakubali tu mseeee
Teh hapo hata ufanyaje Kamati yako ni ya ULINZI no more mjadala hapo
Ina maana tangu pakuche hajaonana??
Inakuhusu???Ina maana tangu pakuche hajaonana??
Ooh wifi, nimeingiwa na huzuni ya ghafla hapa. Nimepata simu mbaya mida hii kuwa rafiki kipenzi anaumwa na khali yake ni mbaya sana, hawezi hata kuongea....ameumwa ghafla eti amepata kajeraha kwenye kidole gumba jana na leo mkono umeparalaizi...na kufunga kauli...daaah.... Furaha yote imeyeyuka..... Nimeshtuka sana wifi angu...
Najisikia kulia jamani, wacha nilog off kwa mda nifanye maombi kwaajili yake!
Sio karibu kivile kongosho, natamani ningeweza kwenda sahizi.....ni mpaka kesho asubuhi.. Wamemchukua kumpeleka hospital jioni hii, nimeshtuka na kuogopa sana... Inaniuma!
Sante sana konnie.!.....