Husninyo Pokea Proposal

Husninyo Pokea Proposal

Hivi jamani mwaka huu mbona ndoa zimeshamiri saana? Wewe na Amyner sio tetesi tena? Tayari COMFIRMED?? Dah!! lol
Teh kitu Comfirmed....tena mimi na yeye mapenzi yetu ni ya uhakina na ya ukweli kuliko watu wote....wengine siasa tu na majungu ila mimi na Amy tunapendana sana na hatutaachana kamwe
 
Mimi nimenawa mikono.... Inaonesha woote wameridhia kabisa... Huwezi kukimbiza upepo ujue??
Hebu msome Husny hapa chini...
Dah!! Haya bana.... Judgement ana GXmia?? Si wamjua cousin wako Golden Mpolee alivo? lol
bora umewapanda mapande yao hasa huyo mtei na erick
Mh hapo katusingizia tu ila kwa kuwa Uporoto ameshakuja na kutoa tamko rasmi mimi sina shida tena labda waulizwe Katavi na Mtei
 
Ooh wifi, nimeingiwa na huzuni ya ghafla hapa. Nimepata simu mbaya mida hii kuwa rafiki kipenzi anaumwa na khali yake ni mbaya sana, hawezi hata kuongea....ameumwa ghafla eti amepata kajeraha kwenye kidole gumba jana na leo mkono umeparalaizi...na kufunga kauli...daaah.... Furaha yote imeyeyuka..... Nimeshtuka sana wifi angu...

Najisikia kulia jamani, wacha nilog off kwa mda nifanye maombi kwaajili yake!

Darling i'm feeling sorry for you.
 
Pole Dear,

Kama ni karibu nenda kamuone.

Back
Top Bottom