Husninyo Pokea Proposal

Husninyo Pokea Proposal

Hata mi nimemkubali jamaa. Yuko juu sana.
Nami nipo humu mteioneandamyner@mapenzimatamunayakwel.com.
Lol we endelea kuota...
Si ilimwona mtoto alivyosema alipokuja??
Mtoto kwa Erick kafika mazimaaaaaa
 
Vipi hii ?? Ashadii = Husinyo ? niliuziwa mbuzi kwenye gunia ???

hahaha.... Husny is my fav niece... Wewe kama mumewe you were my fav... vipi tena ya kuuziwa mbuzi kwenye gunia? lol
 
Lol we endelea kuota...
Si ilimwona mtoto alivyosema alipokuja??
Mtoto kwa Erick kafika mazimaaaaaa

Hakusema kuwa hanitaki, hakubsha kuwa nlikuwa naye, aliahd ataniletea movie. We c ulikwepo?
Wahenga walisema
fimbo ya mbali haiui nyoka, asyekwepo machoni na moyoni hayupo.
We baki Arusha tu. Huku dar mi nala kwa raha zangu. Nimeipenda companion ya Amyner mchana wa leo.
 
mmmh! Mtei acha kushadadia....lol... Husny ni Mpwa wangu upande wa baba watoto..... hahaha....
Wifi achana na M'one manake hutamuweza, anapenda majungu sana inamana hajui kuwa wewe ni aunt yake husninyo?

Mie mzima wifi sijui wewe.
 
Wifi achana na M'one manake hutamuweza, anapenda majungu sana inamana hajui kuwa wewe ni aunt yake husninyo?

Mie mzima wifi sijui wewe.

najua sana kuwa ni aunt yake. Kuna kauli flan hv ameitoa Ashadii ndo imesh2a watu. Uporoto kash2ka, Erick kash2ka pia
 
Wifi achana na M'one manake hutamuweza, anapenda majungu sana inamana hajui kuwa wewe ni aunt yake husninyo?

Mie mzima wifi sijui wewe.

Hata mimi nimeliona hilo... Sijua alitaka kumaanisha nini?? lol

Na mie wa afya wifi yangu... bora umenitonya kuhusu huyu jamaa....
 
Ashadii hata mimi sikutaka waoane hadi Uporoto aje atoe kauli yake....

Kumbe na wewe eeeh? Mimi naona abaki tu Uporoto... Sijui mpwa wangu huy kakosa nini ambacho akisameheki....lol
 
Erick taratibu.... mbona matusi juu? au wewe pia uko in love na Husny? lol...
Mimi hapana Ashadii....
Si unajua mimi ni mkwe wako kwa amyner???
Ila uporoto kaniudhi sana....nilipenda penzi lao lidumu ila Iporoto kaniangusha sana
 
Hata mimi nimeliona hilo... Sijua alitaka kumaanisha nini?? lol

Na mie wa afya wifi yangu... bora umenitonya kuhusu huyu jamaa....

Hahahaha hanijui huyo. Kakudanyanganya. Ile kauli yako ndo bdo inatatza lol.
 
Back
Top Bottom