Husninyo Pokea Proposal

Husninyo Pokea Proposal

Kumbe na wewe eeeh? Mimi naona abaki tu Uporoto... Sijui mpwa wangu huy kakosa nini ambacho akisameheki....lol

Hata mimi niliipinga ndoa mpya ya JG na Husny mpaka Upo adhbtshe kuwa wameachana.
 
Kumbe na wewe eeeh? Mimi naona abaki tu Uporoto... Sijui mpwa wangu huy kakosa nini ambacho akisameheki....lol

Oparesheni Saidia Husninyo (OSHU) haina budi kuanzshwa ili ndoa yake na Uporoto iendelee.
 
Nasikitishwa sana na kauli za kumchafua Husninyo nazozisoma hapa,napenda kuwajulisha kuwa tumeachana kwa amani na Husninyo sio mapepe wala hana sifa mbaya zote mnazoziorodhesha hapa na muda wote niliyokuwa nae alikuwa na mapenzi ya dhati kwangu.Nawatakia kila la heri na judgement wake,judgement hana kosa kaona nafasi na kuchukua uamuzi wa haraka kama mwanaume rlijali na inawezekana mnaotoa maneno machafu mnachelea kupigwa bao jaribuni sehemu ingine mbona wako wengi tu humu ndani kuweni wabunifu tu.

bora umewapanda mapande yao hasa huyo mtei na erick.
 
Mimi hapana Ashadii....
Si unajua mimi ni mkwe wako kwa amyner???
Ila uporoto kaniudhi sana....nilipenda penzi lao lidumu ila Iporoto kaniangusha sana

Hivi jamani mwaka huu mbona ndoa zimeshamiri saana? Wewe na Amyner sio tetesi tena? Tayari COMFIRMED?? Dah!! lol
 
Kumbe na wewe eeeh? Mimi naona abaki tu Uporoto... Sijui mpwa wangu huy kakosa nini ambacho akisameheki....lol

aunty! Mkweo judgement huyo, umpende na kumuheshimu. Ya uporoto yashapita.
 
Hata mimi nimeliona hilo... Sijua alitaka kumaanisha nini?? lol

Na mie wa afya wifi yangu... bora umenitonya kuhusu huyu jamaa....
Ooh wifi, nimeingiwa na huzuni ya ghafla hapa. Nimepata simu mbaya mida hii kuwa rafiki kipenzi anaumwa na khali yake ni mbaya sana, hawezi hata kuongea....ameumwa ghafla eti amepata kajeraha kwenye kidole gumba jana na leo mkono umeparalaizi...na kufunga kauli...daaah.... Furaha yote imeyeyuka..... Nimeshtuka sana wifi angu...

Najisikia kulia jamani, wacha nilog off kwa mda nifanye maombi kwaajili yake!
 
...mmeniacha..duh!
nililala kutunza nguvu za party jioni...naomba kujua majukum ya hawa watu ktk sherehe ya Baba na Mama Jg!
Ericky
Mtei one
Amyner
shem SL
Kongs
na x-husby UP
ubwabwa unalikaje na wap na sangap?
 
Mkuu mimi nilikuwa nakula nashiba wakati huo sasa kama alikuwa ashadii au husninyo watajijua wenyewe lol!

Mambo gani umeanza tena? sababu ndoa yako na Husny imevunjika baas na yangu wataka ivunjike? Nimekukosea nini? lol
 
Oparesheni Saidia Husninyo (OSHU) haina budi kuanzshwa ili ndoa yake na Uporoto iendelee.

Mimi nimenawa mikono.... Inaonesha woote wameridhia kabisa... Huwezi kukimbiza upepo ujue??
Hebu msome Husny hapa chini...

bora umewapanda mapande yao hasa huyo mtei na erick.

aunty! Mkweo judgement huyo, umpende na kumuheshimu. Ya uporoto yashapita.

Dah!! Haya bana.... Judgement ana GXmia?? Si wamjua cousin wako Golden Mpolee alivo? lol
 
Ooh wifi, nimeingiwa na huzuni ya ghafla hapa. Nimepata simu mbaya mida hii kuwa rafiki kipenzi anaumwa na khali yake ni mbaya sana, hawezi hata kuongea....ameumwa ghafla eti amepata kajeraha kwenye kidole gumba jana na leo mkono umeparalaizi...na kufunga kauli...daaah.... Furaha yote imeyeyuka..... Nimeshtuka sana wifi angu...

Najisikia kulia jamani, wacha nilog off kwa mda nifanye maombi kwaajili yake!

Mwee pole wifi.... Na mimi nalog off nije huko huko.... Hapa nishaona sina langu tena!!
 
Ooh wifi, nimeingiwa na huzuni ya ghafla hapa. Nimepata simu mbaya mida hii kuwa rafiki kipenzi anaumwa na khali yake ni mbaya sana, hawezi hata kuongea....ameumwa ghafla eti amepata kajeraha kwenye kidole gumba jana na leo mkono umeparalaizi...na kufunga kauli...daaah.... Furaha yote imeyeyuka..... Nimeshtuka sana wifi angu...

Najisikia kulia jamani, wacha nilog off kwa mda nifanye maombi kwaajili yake!

Pole kwa kuuguliwa na rafiki yako kipenzi. Mungu ampe uponyaji na kama ni hila za shetani basi zkateketee kwa Jina la Yesu Kristo. Amen.
 
Nimeamini ndoa ngumu

lol, ila mie kweli naweza achana na naniliyu?
Si ntakufa visigino mie.
 
Mimi nimenawa mikono.... Inaonesha woote wameridhia kabisa... Huwezi kukimbiza upepo ujue??
Hebu msome Husny hapa chini...

Dah!! Haya bana.... Judgement ana GXmia?? Si wamjua cousin wako Golden Mpolee alivo? lol

Cna budi kukubali yanayotokea
 
Hakusema kuwa hanitaki, hakubsha kuwa nlikuwa naye, aliahd ataniletea movie. We c ulikwepo?
Wahenga walisema
fimbo ya mbali haiui nyoka, asyekwepo machoni na moyoni hayupo.
We baki Arusha tu. Huku dar mi nala kwa raha zangu. Nimeipenda companion ya Amyner mchana wa leo.

Aliyekuambia raha ziko Dar nani???
Mtoto anajua mambo yote ni Arusha.....
Kuanzia Mazingira,vyakula,umaarufu na tamtam...i mean wanaume wanaowafikisha wanawake watakako wako Arusha...Lol utatutaka wazee wa Arachugaaaaa!!!!!!
 
Back
Top Bottom