Sawa ila nataka kumleta huku Arumeru Mashariki aje anisaidie kupiga majungu na Fitina hadi tushinde uchaguzi maana najua uwepo wake tayari ni ushindi kwetuhuyo swahiba wangu wa ukwehe, chake changu changu chake. Sometimes tunabadilishana password. Kama una msg yangu mwachie yeye.
Sawa ila nataka kumleta huku Arumeru Mashariki aje anisaidie kupiga majungu na Fitina hadi tushinde uchaguzi maana najua uwepo wake tayari ni ushindi kwetu
khaa! Swahiba wangu hana na hayawezi majungu labda umchukue amy.
Thanks swahiba, mie nakupendea hapo tu huwa unanipigania hata kama nimelog off.. Ubarikiwe!huyo swahiba wangu wa ukwehe, chake changu changu chake. Sometimes tunabadilishana password. Kama una msg yangu mwachie yeye.
Mwambie huyo!...amesahau akanifananisha na Amy!khaa! Swahiba wangu hana na hayawezi majungu labda umchukue amy.
Hawako pamoja hawa ndio maana unaona ana landa landa, hujambo lakini naona umeamua kufotolewa ukiwa high
Hilo jimama linaweza likakusababishia matege ya viungo vya uzazi. Scientifically provedHahaahaaaaa duh hapo utakuwa ni match ya upande mmoja....komaa na hicho kitu ushike adabu
Hehehehe kama uko kama hilo jimama au at least unalikaribia,naomba nilejeshee PM zangu zote.Hahahahaaaa! Lawyer unaniangusha...
Husny kwa Amy unamwonea....yule ni mtoto mtulivu sana....hana majungu wala utata na mtu....khaa! Swahiba wangu hana na hayawezi majungu labda umchukue amy.
hehehe! Lawyer nishakuja. Cv imechafuliwa sana. Nikiona sipati pms za vidume nitajua ni gundu la katavi hili. Lol.
Swahiba ni kweli siko nae na inaniuma sana...kwanza nilijua wewe ndo umenipiga bao ila kumbe wewe Sweety kakubana kooo....Twende zetu kwenye banana wineHawako pamoja hawa ndio maana unaona ana landa landa, hujambo lakini naona umeamua kufotolewa ukiwa high
Hahahaaaa hilo ni lako aisee mi simoooooo.....mi ni wa vipotabo tu....Rahaaaaaaaa sitaki shida na gharama za kuchonga chaga kila kukichaHehehehe kama uko kama hilo jimama au at least unalikaribia,naomba nilejeshee PM zangu zote.
Teh kumbe ananisema mimi na wakati muhusika ni yeye?Hivi nitonye ndo kusema SL keshakuwekea Kingo mazima? Nina mpango wa kuanzisha chama cha wenye kingo hapa JF lol
huyo blaza ni "INVISIBLE"
Ban iko mlangoni
hehehe b52 bana, mbona unakimbia hevi weight lakoHahahaaaa hilo ni lako aisee mi simoooooo.....mi ni wa vipotabo tu....Rahaaaaaaaa sitaki shida na gharama za kuchonga chaga kila kukicha
Sijawahi kula ban nawala haitatokea.