Husninyo akiwa na............

Hahaha! Lawyer sikujua kumbe we muoga hivyo, daaah umepinda ati!
 
shem unaona majungu ya katavi? Sheria inasemaje hapa?

Yaani mi mwenyewe nilipigwa na butwaa, kipotabo kama wewe anachafua CV yako mbele ya mods.
Nawahi sehem lakini nikirejea tutalijadili hili kwa kina kabisa ofisini. Ukuje ofisini na nguo nyepes nyepes zinazoonesha ndani, ofisi yangu haina AC.
Asante shem
 
hehehe hilo jimama linaweza likakutoa flu za maskio aisee. Acha niendelee kukamua na vizee tu, ukipiga kabao kako kamoja unakaskia kazee " bwaaaana usifiweee"
Hahaahaaaaa duh hapo utakuwa ni match ya upande mmoja....komaa na hicho kitu ushike adabu
 
hehehe! Lawyer nishakuja. Cv imechafuliwa sana. Nikiona sipati pms za vidume nitajua ni gundu la katavi hili. Lol.
 
Mweh!! Utamkimbia akija ofisini, acha kabisa dirisha wazi ili kama mlango utazuiwa utokee hapo!
 
hehehe! Lawyer nishakuja. Cv imechafuliwa sana. Nikiona sipati pms za vidume nitajua ni gundu la katavi hili. Lol.

Niombe radhi tafadhali, mimi nakusafishia cv....utaona pm zinavyomwagika kuanzia leo usiku, jiandae!
 
Niombe radhi tafadhali, mimi nakusafishia cv....utaona pm zinavyomwagika kuanzia leo usiku, jiandae!

ngoja niongee na lawyer nijue jinsi gani nitakushtaki kwenye mahakama ya kimataifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…