Husninyo akiwa na............

Waiting......
Tayari nimecheki kuna zimbabwean dollars milioni mia saba na nusu sawa na US dollars arobaini na tano tukishakutoa comission ya kubadili currency. Enhee leta husninyo dogo sasa nijifalague
 
Tayari nimecheki kuna zimbabwean dollars milioni mia saba na nusu sawa na US dollars arobaini na tano tukishakutoa comission ya kubadili currency. Enhee leta husninyo dogo sasa nijifalague
Ongeza kidogo lawyer...hizo hazitoshi kununua lesi wigi.
 
Hahahahh!! Jimama hilo huliwezi?
Mkuu hilo jimama unaweza ukapiga raundi sita na still likakuuliza "mbona unanichelewesha? fanya uanze dozi bana nataka niwahi salon"

Mimi jimama kama ilo likiniuliza hali najifanya skuzaliwa tanzania na sielewi kabisa iyo lugha anayoongea.
Skubali kufa kizembe
 
Hahahahaaa kumbe Jux hakufai aisee kazi huwezi..saizi yako Kabakabana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…