Husband material kwa sasa mjini ni wanajeshi

Nisingeweka nyongeza watu wangeniuliza wee si unapenda mahandsome kwann unasifia wajeda wenye sura ngumu kama Vichwa vya treni(vibelenge)
:D:D:D:D
ungeacha tu ili na vibelenge wapate moyo kuwa wanaweza kuja pm kutupiamo
 
Back
Top Bottom