Uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.......hakuna adui wa kudumu duniani.....kweli maisha hayana formulaSi yupo na Lemutuz anatosha pamoja na TID.
Halafu wanadhani wao ni wengi, wasijue wapiga mboyoyo mitandaoni hawafiki hata 5% ya wapiga kuraTatizo Lao hawajui kama wananchi WA kawaida huku chini tunaelewa kijana mwenzetu yule anafanyiwa chuki tu wauza madawa.. Makonda oyeee
Ritz wewe sio team Makonda?Si yupo na Lemutuz anatosha pamoja na TID.
Pamoja na Mrisho GumboSi yupo na Lemutuz anatosha pamoja na TID.
Amtegemeaye mwanadamu amelaaniwa.....binafsi nikimwamini Mungu inatosha na Mungu akinikubali inatosha,binadamu sisi wote wapitaji why sasa aweke tumaini kwa wanadamu ambao nao ni wapitaji kama yeye.Ila Bashite ni wa kuonewa huruma sana maana Mkulu hata akipigwa chini na wananchi awamu ya 2 bado ataendelea kula pension yake vizuri kwa maisha yake yote yatakayobakia..
Shida kwa ndugu yetu Bashite mkulu akitoka tu atakuwa na balaa sana maana atakuwa so vulnerable kwa maadui zake wote
nyie ndo mnaomhonga magariAcha ujinga , makonda tunamkubali
Makonda oyee
Wauza unga nyie
dar siyo mkoa wa kuongozwa na mlugaluga kama yeye. amuambie tu boss wake amtafutie chaka lingine.Makonda yupo sana atawanyoosha tu dar inamtumaini yeye