MENGELENI KWETU
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 9,557
- 24,182
Eti..Mtu kama yule huruma ya nini sasa
Toka lini jambazi akahurumiwa..!!??
Eti..Mtu kama yule huruma ya nini sasa
Babu...tupa kule upo?nasikia hawa watu hauwataki kuwasikia hata kidogoSi yupo na Lemutuz anatosha pamoja na TID.
Amebaki Mzee Le Mutuz ambaye mwakani atakuwa ametimiza miaka 60! Shikamoo LemutuzMakonda anatia huruma hadi wafanyakazi wa GSM wanamtangazia siri zake kwa akina Mange Kimambi huko.
Clouds FM walikua wakimsapoti makonda taangu yuko cha Ushirika walikua wanatangaza Matangazo yake taangu akiwa Waziri Mkuu chuoni kipindi hicho anaishi kwa Samuel Sita.Shocking Old friends wanasepa anabakiwa yeye kama yeye na maisha ya Upweke katika siku zake za Mwisho za Ukuu wa Mkoa wa Dar.
Clouds FM wameona future yake ni ndogo hata wakaamua kujiunga na Gwajima hapo baada ya kufuatilia Suala la vyeti alivyokua mpenda sifa tulijua ataenda kuvimwaga Clouds lakini hakufanya hivyo.
Kila kitu makonda amekua akikifanya kwa kivuli cha Madawa ya kulevya huruma makonda amebakia na Wazazi wake, Lemtuz, Rais na Mkewe tuu.
Mkuu we subiri hata wenye magazeti wataandika tu.njaa walizonazo hao jamaa nakupa wiki tu .hakuna cha BAN wakati ndio headlines zilizobaki za kuuzia majarida yao..Ooh kumbe sasahivi inaandikika ile ban imeisha nini?
Mkuu we subiri hata wenye magazeti wataandika tu.njaa walizonazo hao jamaa nakupa wiki tu .hakuna cha BAN wakati ndio headlines zilizobaki za kuuzia majarida yao..
tehe tehe tehe king of social media, u knowSi yupo na Lemutuz anatosha pamoja na TID.
tajiri wa wanawakehivi lemutuzi ni tajiri sana nchi hii e?
Waandishi wetu huwa wanaponea kwenye vibahasha vinavyotolewa kwenye press conferences.Rc makonda alikuwa anatoa sana. Mi nadhani makonda pia ajitokeze awaombe radhi yaishe.Me natabiri soon kuna watu wataumbuka na watadhihirika jinsi walivyo watupu
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Acha ujinga , makonda tunamkubali
Makonda oyee
Wauza unga nyie
Wew utakuwa ni lemutuz mwenye tumbo kama pipaAcha ujinga , makonda tunamkubali
Makonda oyee
Wauza unga nyie
Wew ndounatia kinyaa kumshabikia zero zeroAfadhali ukose marafiki kuliko kuwa na marafiki wanafiki kama Clouds FM,leo hii wamekimbilia kwa Gwajima hadi wanatia kinyaa
Dawa za kulevya MyFootHeri kupoteza marafiki zako uzuie dawa za kulevya kuliko kukaa na marafiki waovu...
Nyie marafiki zenu si mnawakumbatia? Waleee mafisadi na wavuta bangi tunaona mnavyowahusudu na kuwatetea Mahakamani
Le tumbozi mzee wa makaptula kuanzia mwanzo wa wiki mpaka mwanzo wa wiki.
Unapoteza mda wakoWauza ngada wanaona Furaha sana wanaodhani Makonda akiondoka basi watauza ngada hata sokoni! Wanajidanganya!
Nadhani hata mkewe atakuwa anafikiri mara mbilimbilimaajabu hata wewe mkuu umemtosa.Sasa naanza kuamini Dunia inaelekea ukingoni