Huruma: Makonda amepoteza marafiki zake wote

Hapa ndio wanawake nawaona mna moyo. Moyo wa chuma. Yaani kabisa kwa akili zile, Daudi anaitwa mume.
Sasa mkuu atafanyaje mnyarwanda wa watu na pingu za maisha ndo walishafunga, hapo ni kifo tu ndo kitawatenganisha
 
Si yupo na Lemutuz anatosha pamoja na TID.
Lemutuz anampiga pesa tu, kwani hujui mzee Lemutuz ni bigwa wa kujipendekeza kwa watu maarufu?
ab976cabb1668438855d68f6e1156aa2.jpg
17a14ea4fb2a5e424d5edebf24da2fc9.jpg
 
Jamaa ananyoa nywele zote kwa umaarufu zaidi anapigwa pala!!
Makonda anatia huruma hadi wafanyakazi wa GSM wanamtangazia siri zake kwa akina Mange Kimambi huko.

Clouds FM walikua wakimsapoti makonda taangu yuko cha Ushirika walikua wanatangaza Matangazo yake taangu akiwa Waziri Mkuu chuoni kipindi hicho anaishi kwa Samuel Sita.Shocking Old friends wanasepa anabakiwa yeye kama yeye na maisha ya Upweke katika siku zake za Mwisho za Ukuu wa Mkoa wa Dar.

Clouds FM wameona future yake ni ndogo hata wakaamua kujiunga na Gwajima hapo baada ya kufuatilia Suala la vyeti alivyokua mpenda sifa tulijua ataenda kuvimwaga Clouds lakini hakufanya hivyo.

Kila kitu makonda amekua akikifanya kwa kivuli cha Madawa ya kulevya huruma makonda amebakia na Wazazi wake, Lemtuz, Rais na Mkewe tuu.
 
Yupo Nyani Ngabu
 
Acha porojo, fanya kazi maskini mkubwa wewe.
 
Ww unayemkubali bashite,ulizungusha kwe elimu yako km yy.na ss nakuitia somo yenu Sugu !lazima uhucke ktk ukaguzi wa mganga mkuu.lazima umejeruhiwa tu km bashite.
 
Back
Top Bottom