Huruma: Makonda amepoteza marafiki zake wote

Huruma: Makonda amepoteza marafiki zake wote

Makonda anatia huruma hadi wafanyakazi wa GSM wanamtangazia siri zake kwa akina Mange Kimambi huko.

Clouds FM walikua wakimsapoti makonda taangu yuko cha Ushirika walikua wanatangaza Matangazo yake taangu akiwa Waziri Mkuu chuoni kipindi hicho anaishi kwa Samuel Sita.Shocking Old friends wanasepa anabakiwa yeye kama yeye na maisha ya Upweke katika siku zake za Mwisho za Ukuu wa Mkoa wa Dar.

Clouds FM wameona future yake ni ndogo hata wakaamua kujiunga na Gwajima hapo baada ya kufuatilia Suala la vyeti alivyokua mpenda sifa tulijua ataenda kuvimwaga Clouds lakini hakufanya hivyo.

Kila kitu makonda amekua akikifanya kwa kivuli cha Madawa ya kulevya huruma makonda amebakia na Wazazi wake, Lemtuz, Rais na Mkewe tuu.
Kwa wewe na wauza sembe wenzio ndo ameshawaacha solemba, sie wananchi tuko naye poa sana
 
Aiseee(in kikwete's voice)
kumbe asipokua hana askari anakua nyanya ...kawakimbia tume kapita nyuma ya mlango wa ofisi ...
 
Jamani vyombo vya habari vimeazimia kutokumpa hairtime yoyote makondaaa ,why still mnazidi kumfuata fuata
 
Makonda yupo sana atawanyoosha tu dar inamtumaini yeye
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jipe moyo
unakimbia tume kwa kupita mlango wa nyuma ...
imekula kwake si mlikua mnasema ripoti haitatoka
 
mke wa raisi nahisi umemsingizia asee yule mama ni mwalimu tena wa zamani awezi penda ubashite anajua thamani ya elimu
 
Si yupo na Lemutuz anatosha pamoja na TID.

Makonda bado ana marafiki wengi tu wakina Ridhiwani, Kinje na Juma Pinto ambao ndio alikaa nao alipokuwa mapumzikoni huko bondeni!!
 
Makonda anatia huruma hadi wafanyakazi wa GSM wanamtangazia siri zake kwa akina Mange Kimambi huko.

Clouds FM walikua wakimsapoti makonda taangu yuko cha Ushirika walikua wanatangaza Matangazo yake taangu akiwa Waziri Mkuu chuoni kipindi hicho anaishi kwa Samuel Sita.Shocking Old friends wanasepa anabakiwa yeye kama yeye na maisha ya Upweke katika siku zake za Mwisho za Ukuu wa Mkoa wa Dar.

Clouds FM wameona future yake ni ndogo hata wakaamua kujiunga na Gwajima hapo baada ya kufuatilia Suala la vyeti alivyokua mpenda sifa tulijua ataenda kuvimwaga Clouds lakini hakufanya hivyo.

Kila kitu makonda amekua akikifanya kwa kivuli cha Madawa ya kulevya huruma makonda amebakia na Wazazi wake, Lemtuz, Rais na Mkewe tuu.
Halafu issue ya vyeti kumbe Gwajima alienda live kote alikosoma kujua huyu mtu anayesingizia watu bila kuangalia madhara ya huko kusingiziwa kwa familia ya mhusika na jamii. Gwajima alijiuliza ana elimu ya namna gani huyu mtu!!! Kufuatilia kote huko akakuta ya bashite na mazero!!!! Shikamoo Gwajima!!!!! Sasa waliomsupport sasa wamemtosa!!!! Tusubiri season three ya tamthilia baada ya kamati kukabidhi report kwa waziri mwenye dhamana.
 
Makonda yupo sana atawanyoosha tu dar inamtumaini yeye
Nilimsikia Mh Zero anamponda Makonda eti mtu kapata zero std V11 na form 1V . Nikuulize Be. Zero ww hy bwana ni Genious kwamba ni muhitimu wa Chuo kinachoheshimika Tanzania . mtu ambaye ubongo wake ulibadirika na kuanza kupokea Elimu kwa muda mfupi na akasoma masomo yote mpk Chuo ?
 
Makonda bado ana marafiki wengi tu wakina Ridhiwani, Kinje na Juma Pinto ambao ndio alikaa nao alipokuwa mapumzikoni huko bondeni!!
Aah!!! Hujasikia Ridhiwan alichosema!!!! Anmwachia Mungu. Kasema familia ilitikisika baada ya kutajwa.
 
Back
Top Bottom