Huruma: Makonda amepoteza marafiki zake wote

Makonda anatia huruma hadi wafanyakazi wa GSM wanamtangazia siri zake kwa akina Mange Kimambi huko.

Clouds FM walikua wakimsapoti makonda taangu yuko cha Ushirika walikua wanatangaza Matangazo yake taangu akiwa Waziri Mkuu chuoni kipindi hicho anaishi kwa Samuel Sita.Shocking Old friends wanasepa anabakiwa yeye kama yeye na maisha ya Upweke katika siku zake za Mwisho za Ukuu wa Mkoa wa Dar.

Clouds FM wameona future yake ni ndogo hata wakaamua kujiunga na Gwajima hapo baada ya kufuatilia Suala la vyeti alivyokua mpenda sifa tulijua ataenda kuvimwaga Clouds lakini hakufanya hivyo.

Kila kitu makonda amekua akikifanya kwa kivuli cha Madawa ya kulevya huruma makonda amebakia na Wazazi wake, Lemtuz, Rais na Mkewe tuu.
Si mmeambiwa msiandike chochote kuhusu Makond? Au mmegundua Makonda ni kama maji?
 
Makonda anatia huruma hadi wafanyakazi wa GSM wanamtangazia siri zake kwa akina Mange Kimambi huko.

Clouds FM walikua wakimsapoti makonda taangu yuko cha Ushirika walikua wanatangaza Matangazo yake taangu akiwa Waziri Mkuu chuoni kipindi hicho anaishi kwa Samuel Sita.Shocking Old friends wanasepa anabakiwa yeye kama yeye na maisha ya Upweke katika siku zake za Mwisho za Ukuu wa Mkoa wa Dar.

Clouds FM wameona future yake ni ndogo hata wakaamua kujiunga na Gwajima hapo baada ya kufuatilia Suala la vyeti alivyokua mpenda sifa tulijua ataenda kuvimwaga Clouds lakini hakufanya hivyo.

Kila kitu makonda amekua akikifanya kwa kivuli cha Madawa ya kulevya huruma makonda amebakia na Wazazi wake, Lemtuz, Rais na Mkewe tuu.

Lemutuz yupo anamfariji katika kipindi hichi kigumu.
 
Realistically asilimia kubwa ya watu aliokuwa ana hang nao na majukumu yake awakutakiwa kuwa close associates.
 
Makonda anatia huruma hadi wafanyakazi wa GSM wanamtangazia siri zake kwa akina Mange Kimambi huko.

Clouds FM walikua wakimsapoti makonda taangu yuko cha Ushirika walikua wanatangaza Matangazo yake taangu akiwa Waziri Mkuu chuoni kipindi hicho anaishi kwa Samuel Sita.Shocking Old friends wanasepa anabakiwa yeye kama yeye na maisha ya Upweke katika siku zake za Mwisho za Ukuu wa Mkoa wa Dar.

Clouds FM wameona future yake ni ndogo hata wakaamua kujiunga na Gwajima hapo baada ya kufuatilia Suala la vyeti alivyokua mpenda sifa tulijua ataenda kuvimwaga Clouds lakini hakufanya hivyo.

Kila kitu makonda amekua akikifanya kwa kivuli cha Madawa ya kulevya huruma makonda amebakia na Wazazi wake, Lemtuz, Rais na Mkewe tuu.
Makonda alishajiandaa kisaikolojia kwamba anakwenda kuchokoza nyuki.Kama Yesu mwenyewe alisalitiwa itakuwa Makonda?Piga kazi kijana,upepo tu huu utapita tuu
 
Acha ujinga , makonda tunamkubali

Makonda oyee

Wauza unga nyie
Tatizo Lao hawajui kama wananchi WA kawaida huku chini tunaelewa kijana mwenzetu yule anafanyiwa chuki tu wauza madawa.. Makonda oyeee
 
Tunamkubali au ww peke yako ndo unamkubali? Au ww na familia yako ksb kila mwisho wa mwezi anawaletea unga sembe & Dona?
Think beyond shading wewe daudi hata ukijipendekeza ipo siku atakupora chochote atakachokitamani kwako
Mimi na familia yangu wote tuko upande wa makonda
 
Kuna mtu angeweza kumwokoa Makonda lakini hakutaka kwa sababu mapenzi yalizidi. Mtoto akinyea mkono haukatwi lakini kipindupindu hicho!
 
Ufanye urafiki na jambazi, jizi LA majina ya watu. Iko siku jina lako ataliiba pia
 
Makonda anatia huruma hadi wafanyakazi wa GSM wanamtangazia siri zake kwa akina Mange Kimambi huko.

Clouds FM walikua wakimsapoti makonda taangu yuko cha Ushirika walikua wanatangaza Matangazo yake taangu akiwa Waziri Mkuu chuoni kipindi hicho anaishi kwa Samuel Sita.Shocking Old friends wanasepa anabakiwa yeye kama yeye na maisha ya Upweke katika siku zake za Mwisho za Ukuu wa Mkoa wa Dar.

Clouds FM wameona future yake ni ndogo hata wakaamua kujiunga na Gwajima hapo baada ya kufuatilia Suala la vyeti alivyokua mpenda sifa tulijua ataenda kuvimwaga Clouds lakini hakufanya hivyo.

Kila kitu makonda amekua akikifanya kwa kivuli cha Madawa ya kulevya huruma makonda amebakia na Wazazi wake, Lemtuz, Rais na Mkewe tuu.

Acha kuota

kasemwa Lowassa nchi hii!! hakunaga
 
konda.png
 
Back
Top Bottom