Huruma: Makonda amepoteza marafiki zake wote

Huruma: Makonda amepoteza marafiki zake wote

ameandikwa sana mitandaoni. furaha ya binadamu ni kuchanganyika na watu. bila hivo unachanganyikiwa. hasira zinakuwa rafiki yako. naamini hata familia yake eg mke, kujumuika ktk matukio ya kijami kama misiba, harusi nk inamwia vigumu kwa kuhisi kila wamwangaliao wanafahamu yaandikwayo kumhusu mumewe.
 
Bashite atajuuta kuingia mjini kichwa kichwa. Soon sozonje naye atamgeuka
 
Back
Top Bottom