Huruma: Makonda amepoteza marafiki zake wote

17424937_418307495183122_3034935210912551636_n.jpg

Jambazi!
 
Mm mwanzo nilijua jamaa anazushiwa lakini ameprove kilicholetwa na gwajima ni something tangible

1.gwajima hajachukuliwa hatua yoyote kwa aliyoyaongea

2.huyo bash amethibitisha kua kichwani ziko pungufu hasa kwenye suala la maamuzi, maana mtu smart kichwani huwezi kuanzisha matukio mengine ukiwa katika tukio jingine.

The man is not wise or intelligent either, anasabisha serikali iyumbe for nothing
 
Makonda yupo sana atawanyoosha tu dar inamtumaini yeye

Ewe ndio unamtumaini dar katukuta na atatuacha tuna urithi wa baba zetu likizo sisi tunakwenda kariakoo yeye kolomije upo
 
Ila Bashite ni wa kuonewa huruma sana maana Mkulu hata akipigwa chini na wananchi awamu ya 2 bado ataendelea kula pension yake vizuri kwa maisha yake yote yatakayobakia..

Shida kwa ndugu yetu Bashite mkulu akitoka tu atakuwa na balaa sana maana atakuwa so vulnerable kwa maadui zake wote
Halafu bahati mbaya sio mtoto wa mjini ingawa yeye anajiona mtoto wa mjini, subiri siku mzee shilawadu hayupo darakani halafu wale watesi wake wajichomeke kwenye huo mhula ndo atajua kuwa kutesa kwa zamu
 
Tunamkubali au ww peke yako ndo unamkubali? Au ww na familia yako ksb kila mwisho wa mwezi anawaletea unga sembe & Dona?
Think beyond shading wewe daudi hata ukijipendekeza ipo siku atakupora chochote atakachokitamani kwako
Hata akitaka inye yake ataichukua tu
 
Muache Bashite abaki pekee yake kwani hata alipokuwa anaiba vyeti aliiba mwenyewe.
 
Makonda anatia huruma hadi wafanyakazi wa GSM wanamtangazia siri zake kwa akina Mange Kimambi huko.

Clouds FM walikua wakimsapoti makonda taangu yuko cha Ushirika walikua wanatangaza Matangazo yake taangu akiwa Waziri Mkuu chuoni kipindi hicho anaishi kwa Samuel Sita.Shocking Old friends wanasepa anabakiwa yeye kama yeye na maisha ya Upweke katika siku zake za Mwisho za Ukuu wa Mkoa wa Dar.

Clouds FM wameona future yake ni ndogo hata wakaamua kujiunga na Gwajima hapo baada ya kufuatilia Suala la vyeti alivyokua mpenda sifa tulijua ataenda kuvimwaga Clouds lakini hakufanya hivyo.

Kila kitu makonda amekua akikifanya kwa kivuli cha Madawa ya kulevya huruma makonda amebakia na Wazazi wake, Lemtuz, Rais na Mkewe tuu.
Duniani mkuu kavunja rekodi. Kutumia vyombo vya juu kumlinda kilaza hii haitoki bila kujibiwa. Uwenda wengi hatujuwi ukweli ila uwenda tukaujuwa siku za karibuni.
 
Makonda anatia huruma hadi wafanyakazi wa GSM wanamtangazia siri zake kwa akina Mange Kimambi huko.

Clouds FM walikua wakimsapoti makonda taangu yuko cha Ushirika walikua wanatangaza Matangazo yake taangu akiwa Waziri Mkuu chuoni kipindi hicho anaishi kwa Samuel Sita.Shocking Old friends wanasepa anabakiwa yeye kama yeye na maisha ya Upweke katika siku zake za Mwisho za Ukuu wa Mkoa wa Dar.

Clouds FM wameona future yake ni ndogo hata wakaamua kujiunga na Gwajima hapo baada ya kufuatilia Suala la vyeti alivyokua mpenda sifa tulijua ataenda kuvimwaga Clouds lakini hakufanya hivyo.

Kila kitu makonda amekua akikifanya kwa kivuli cha Madawa ya kulevya huruma makonda amebakia na Wazazi wake, Lemtuz, Rais na Mkewe tuu.
ule wimbo wa marinda kufumuliwa wa ney wa mitego unaweza kuwa ndio sababu iliyofanya apoteze marafiki. mimi kama mwanaume huwa sipendi hata kuwaona tu watu wa aina hiyo. binsfsi, niseme toka moyoni, sijawahi kumchukia mtu hapa dniani kama nilivyomchukua bashite, anakera hata kuangalia hasa akibunua lile domo lake as if ana vyeti halali, kumbe zero. ana laana na future yake itakuwa mbaya sana. hao ni watu wanaoishiaga pabaya kwasababu wanafiki na wanamsanifu tu Mungu.
 
Makonda anatia huruma hadi wafanyakazi wa GSM wanamtangazia siri zake kwa akina Mange Kimambi huko.

Clouds FM walikua wakimsapoti makonda taangu yuko cha Ushirika walikua wanatangaza Matangazo yake taangu akiwa Waziri Mkuu chuoni kipindi hicho anaishi kwa Samuel Sita.Shocking Old friends wanasepa anabakiwa yeye kama yeye na maisha ya Upweke katika siku zake za Mwisho za Ukuu wa Mkoa wa Dar.

Clouds FM wameona future yake ni ndogo hata wakaamua kujiunga na Gwajima hapo baada ya kufuatilia Suala la vyeti alivyokua mpenda sifa tulijua ataenda kuvimwaga Clouds lakini hakufanya hivyo.

Kila kitu makonda amekua akikifanya kwa kivuli cha Madawa ya kulevya huruma makonda amebakia na Wazazi wake, Lemtuz, Rais na Mkewe tuu.
[emoji26] are seriaz,?mbona wanao mkubali bado wengi,..??[emoji50] em siku ingne jitaidi kupost sensible zaidi aseeh
 
Eeeeeehh hivi Bashite ndio hana malinda?? Ina maana imebakia li shimooo tiuuuu waaaziiii??? Sielewiii kumbeeee
 
Back
Top Bottom