Huna sababu ya kutonukia vizuri muda wote, gharama ni ndogo sana

Mdharuba

JF-Expert Member
Oct 26, 2011
824
517
Mimi binafsi sioni sababu ya mtu kunuka jasho hata kwa dakika moja. Ni rahisi sana kunukia vizuri.
Njoo nikupe bidhaa zote zitakazokuacha na harufu nzuri muda wote.

Tunaanzia mdomoni, kwa kukupa dawa safi ya meno, kwa hakika utayafurahia maongezi. Kisha mwili unahitaji sabuni ambayo utaogea na kukuacha mkavu na unanukia ndani ya 24 hr.

Baada ya hapo unapata deodorant roll on, ambayo inaondoa kabisa kero za kwapa. Kisha unapulizia deodorant spray ambayo hii ndo itafanya aliyeko karibu yako apende 'kampani' yako.

Ni vizuri pia kuwa na mafuta ya nywele ambayo yataondoa wekundu huko kichwani na kufanya nywele ziwe laini na kuvutia. Huna sababu ya kukosa hii.

Then, unamaintain rangi ya ngozi yako kwa kupata mafuta yanayojielewa.. Huna sabau ya kuchubua ngozi na mavipodozi yasiyofaa.. Ngozi yako ni ya thamani sana, ing'arise hiyohiyo upendeze.

Nipigie simu kuweka oda yako-0718274130

Popote ndani ya Tanzania, Mzigo utakufikia.
63c9bcc87f2b18f2e29cb2b771cf625e.jpg
14336c15de6daf785e10195e711c722b.jpg
d62a599968cedabdbe2640f08b2677aa.jpg
44d7a4e700d9b99c679792091c46115b.jpg
a0b2cbd83825c357db24a4e18f633379.jpg
4d1526a6e272ee35874a92974a9edbd3.jpg
d6962a7bfe3fc82c8bab7c8fffa422d9.jpg
 
Back
Top Bottom