Huna changamoto za kiafya, Umefika miaka 35 huna mtoto, usingizi unautoa wapi kwamfano ?

Huna changamoto za kiafya, Umefika miaka 35 huna mtoto, usingizi unautoa wapi kwamfano ?

round kick

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2025
Posts
935
Reaction score
3,014
Muhimu: Ni nje ya watu wenye changamoto za afya za uzazi, walemavu, wafungwa wa magerezani, watu wanaoishi maisha ya kimasikini kupitiliza.

Suala la kuoa au kuolewa halina uzito sana hasa kwa zama za sasa, watu wengi ndoa zimevunjika wanaishi kivyao

Lakini unafika 35 huna au hujawahi kuwa na mtoto hata mmoja.

Sina maana ya kusema kwamba uzalishe na kukimbia, Hii sio sawa, ni jinsi unavyojisikia kwamba umefika 35 na huna mtoto, hayo maisha utayaishi bila kuona kuna kitu muhimu huna ?

USINGIZI UNAUTOA WAPI ?
 
Suala la kuoa au kuolewa halina uzito sana hasa kwa zama za sasa, watu wengi ndoa zimevunjika wanaishi kivyao

Lakini unafika 35 huna hata mtoto na huna changamoto za kiafya

USINGIZI UNAUTOA WAPI ?
Hizi shobo za kindezi inaonekana mwenza wako kajifungua Mtoto wako wa kwanza majuz. Shauri zako, nenda kapime dna uanze kulialia humu.

Nyau de adriz
 
mwanaume umri sahihi na bora wa kupata mtoto ni miaka 26-28.

hapa una mbegu zenye afya na nguvu
 
Sio kwa nia mbaya ila tuambiane ukweli

Suala la kuoa au kuolewa halina uzito sana hasa kwa zama za sasa, watu wengi ndoa zimevunjika wanaishi kivyao

Lakini unafika 35 huna changamoto za kiafya lakini huna au hujawahi kuwa na mtoto hata mmoja.

USINGIZI UNAUTOA WAPI ?
Maisha hayana kanuni mkuu. Haya mambo ya uzazi yaongelee kwa tahadhari mno maana watu wengi wana changamoto na hayo mambo. Ukiwa umejaliwa mshukuru tu Mungu bila kuwaona watu wengine hawana akili au wazembe.
 
Nasemaje, kuwa na mtoto ni maamuzi personal, majaaliwa, mipango na kuchagua..
Lakini,
Bora kutokuwa na mtoto kuliko kuzalisha mwanamke na kumkimbia!

Bora kutokuwa na mtoto kuliko, kuzaa mtoto ukashindwa kumhudumia mahitaji ya msingi!

Bora kutokuwa na mtoto kuliko kuzaa au basi...
 
Muhimu: Ni nje ya watu wenye changamoto za afya za uzazi, walemavu, wafungwa wa magerezani, watu wanaoishi maisha ya kimasikini kupitiliza.

Sio kwa nia mbaya ila tuambiane ukweli

Suala la kuoa au kuolewa halina uzito sana hasa kwa zama za sasa, watu wengi ndoa zimevunjika wanaishi kivyao

Unafika 35 lakini huna au hujawahi kuwa na mtoto hata mmoja.

USINGIZI UNAUTOA WAPI ?
Not everything is for everyone!
 
Mnaharibu NATURE kwa misimamo yenu ya kukalilishana ujinga, ninyi mnaozaa zaa hovyo kama panya mkiulizwa kwanini mnazaa hamna sababu ya msingi, na wengi wenu ni masikini choka mbaya, mlivyo wabinafsi mnaleta viumbe duniani ili waje kirithi mateso ya ufukara wenu huu ni unyama.

Hakuna haja ya kuwa na watoto kama hujui maana ya maisha na dhumuni la kuleta viumbe duniani.

Mnazaa kwa mazoea na bila utaratibu, ndio haya matokeo ya umasikin nchini na muendelezo wa machokoraa mitaani, kukimbia mimba+majukumu ya kulea, ukwepaji wajibu wa malezi kwa watoto.

Hakuna umuhimu wa kuwa na watoto huu ujinga wa kukalilishana umepitwa na wakati, ni muda sasa watu waamke waache kuishi kwa mazoea.

Nature ya dunia inataka uishi kwa mipaka, sheria na taratibu ambapo ili uishi na kufanya jambo lazima liwe na sababu.

Wengi humu mkiulizwa kwanini mnazaa mtasingizia sijui mpate warithi ambao hamna vya kuwarithisha, wengine wanasema walete chata duniani(upuuzi), wajinga wengine wanadai ni agizo la Mungu kuijaza dunia, sijui ni utaratibu gani mnautumia kuijaza dunia kwa kuleta viumbe msioweza kuwalea wala kuwapa maisha na maadili bora wanaishia kuwa vibaka, mashoga, wezi, majambazi, wala unga na hawa watoto wasio na heshima.

Acheni kuzaa kama wanyama, jiheshimuni.
 
mwanaume umri sahihi na bora wa kupata mtoto ni miaka 26-28.

hapa una mbegu zenye afya na nguvu
Ni kweli mkuu ila sasa mustakabali wa maisha watu unafanya watu wanazalisha hadi 54 unakuta mtu ana katoto kama mwezi miwili
 
Back
Top Bottom