Humu MMU kuna mambulula wengi wa kifikra.

Humu MMU kuna mambulula wengi wa kifikra.

He he he, hivi abiria nao siku hizi wanakata kona wakiwa garini?

Member wanadelete topic? Mods jibuni hoja.

Ukipost topic humu kuhusu mambo yaliyokukuta kuna mbuluza either litadelete topic au litapingana na kuiita ya kutunga. Some of us tunatumia hizi forum kutoa yaliyo kwenye moyo yanayohusu mahusiano sasa mbulula linafikiri mtu ana mda wa kutunga story.
Then kuna mbulula lingine litaanza kotoa maneno ya kashfa kama huamini fuatilia....
 
Kwani hii hujatunga? au kuna sehemu umeikopi na kupest?
 
Ukipost topic humu kuhusu mambo yaliyokukuta kuna mbuluza either litadelete topic au litapingana na kuiita ya kutunga. Some of us tunatumia hizi forum kutoa yaliyo kwenye moyo yanayohusu mahusiano sasa mbulula linafikiri mtu ana mda wa kutunga story.
Then kuna mbulula lingine litaanza kotoa maneno ya kashfa kama huamini fuatilia....

Mtizamo wangu katika hili ni huu, sioni ubaya wowote wa mtu kupost story za kutunga kwa kuwa si kila kitu lazima tu-experience wenyewe physically. Vitu vingine tunaona kwa majirani, marafiki, hata kwa watu tusiowajua.

Jiulize mtu mwenye jumla ya post 46789 rep power 17834 hayo yote aliyoandika yatakuwa yamemtokea yeye? Inshu ya msingi hapa ni kuhakikisha at least unayoyaandika yawe yana-reflect uhalisia flan.

Ushauri wangu ni huu, usiogope hata siku moja kukosolewa bali jifunze namna ya kufanya consideration kwenye kila item ya story unayoandika ili watu wasione mapungufu yake, hii itakujengea sana kujiamini na watu automatically watakuheshimu tu na post zako zitachangiwa sana
 
watu waniba story kwenye mablogs au groups fulani on fb za miaka hiyo anajimilikisha anacopy anakuja kuipaste hapa! Its boring i think ndomana watu wanavuruga michango
 
Hapo umenena ukweli mtupu watu wa aina hiyo wako wengi sana ukiwaambia ukweli mtupu utasikia wanajitetea wanaongea kinyume kwani kiuhalisia si tabia zao.Mtu anaomba ushauri kwanini uongee kinyume na uhalisia wako?Utaona kauli kama napita tu, stori ya shigongo, mimi mdogo, ngoja waje,hii inafaa iende jukwaa la wakubwa,shule itakuwa bado kufunguliwa,ngoja nimalize kula kwanza,etc.

Kuna post zingine zinaboa na zinakuwa kama kichekesho vile na zinapelekea wanaJF kutoa maneno ya kejeli.
Kinachosababisha hasa ni
1. Zimeandikwa bila mpangilio
2. Hazijitoshelezi kimaelezo/au lugha yenyewe haieleweki
3. Mwandishi kashindwa kujieleza kama anatoa taarifa au anaomba ushauri au anahitaji msaada
4. Hazina uhalisia
.
.
Kama member akiandika na akaeleweka anahitaji nini mbona hakuna kejeli. Mjitahidi tuu kuwa explicit na mnachohitaji jukwaaani.
 
We ni chizi kweli... hivi utanifanya nini? Mbulula wewe ngoja nikutafute facebook nikukariri then tuone nani mjanja.

hahahahahaha. Hapo umenitisha au umenipa taarifa? Acha umbulula wewe.
 
Mtu unaanzisha thread kama hii hapa chini, kwa nini usipingwe??
Wana MMU hebu someni wenyewe hapa chini...
Hivi kuna Mwanaume Rijali Asiyetembea na Machangu

CC: Mrembo by Nature, nikiwe

hahahah huyo ni MBULULA original!!! kuna watu wamejiwekea kwamba wakianzisha kitu hata kama cha utumbo asiambiwe. watu wengine tupo kuangalia kwa sababu hatuna mambo ya kuleta kama mada, zaidi ni kuchangia kile unachojua kwa waanzilishi. otherwise siyo lazima kila mtu a-comment kwenye thread yako au kukusifia uongo. Kama umechemsha unaambiwa ukweli halafu unaamua!
 
Back
Top Bottom