Humu MMU kuna mambulula wengi wa kifikra.

Humu MMU kuna mambulula wengi wa kifikra.

notifeki

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2013
Posts
402
Reaction score
283
Ukipost topic humu kuhusu mambo yaliyokukuta kuna mbuluza either litadelete topic au litapingana na kuiita ya kutunga. Some of us tunatumia hizi forum kutoa yaliyo kwenye moyo yanayohusu mahusiano sasa mbulula linafikiri mtu ana mda wa kutunga story.
Then kuna mbulula lingine litaanza kotoa maneno ya kashfa kama huamini fuatilia....
 
Hapo umenena ukweli mtupu watu wa aina hiyo wako wengi sana ukiwaambia ukweli mtupu utasikia wanajitetea wanaongea kinyume kwani kiuhalisia si tabia zao.Mtu anaomba ushauri kwanini uongee kinyume na uhalisia wako?Utaona kauli kama napita tu, stori ya shigongo, mimi mdogo, ngoja waje,hii inafaa iende jukwaa la wakubwa,shule itakuwa bado kufunguliwa,ngoja nimalize kula kwanza,etc.
 
Naomba uwataje my dia notifeki, wao wanaona story zao tu ndio za kweli za wengine wote ni za uongo, kweli doubts saa ingine zipo ila ukieleweshwa elewa sio unang'ang'ana tu.........kweli nasapoti hao ni mbulula tu.
 
Last edited by a moderator:
Ukiona thread yako imefutwa au watu wengi wameipinga ujue kuwa wewe ndiye MBURULA halisi.
 
sijui kama hata unajua ambaye ana uwezo wa kufuta topic.
alaf tatizo lako unafikiri binadamu wako sawa.

Dogo ana point ila ameiwasilisha vibaya.......Ila saa ingine kuna watu wengine wanakera sana, t z like wana hati miliki ya JF the way wanajiweka na kuwaona wengine.....wanakera sana argghhhh
 
snowhite nakusubiri ukoment
mimi nilijua tu notifeki atarudi na thread nyingine kumbukumbu inaonesha kuwa huwa anapost thread 3 kwa siku zote za kufuatana inayofata ataweka jukwaa la complaints na congrats kuwatuhumu mamods.
Some people bana
 
Last edited by a moderator:
Kama wachangiaji ni mambulula sipati picha huyo mleta sredi ana digrii ngapi za umbulula...
 
Mmh! Pole mwaya, usiwajali we endelea na ishu zako, mi mwnyewe mwanzo nilikua nashangaa bt now sina hata mda, nachangia na kusepa zangu
 
Ukipost topic humu kuhusu mambo yaliyokukuta kuna mbuluza either litadelete topic au litapingana na kuiita ya kutunga. Some of us tunatumia hizi forum kutoa yaliyo kwenye moyo yanayohusu mahusiano sasa mbulula linafikiri mtu ana mda wa kutunga story.
Then kuna mbulula lingine litaanza kotoa maneno ya kashfa kama huamini fuatilia....

..... umenena kweli tena nina wasiwasi wako wanaopendelewa na kuendelezwa topics zao hata kama ni za utumbo... lakini baadhi ya mada za nguvu unashangaa zinavyo futwa
 
Haha kuna pipo zina hati miliki na jf?no wonder muda mwingi wako jf sijui hawana kazi?kama kuna wafulani waanzao na herufi ki.. and k..o haha even nite kali wako jf,i think wako so lonely
Dogo ana point ila ameiwasilisha vibaya.......Ila saa ingine kuna watu wengine wanakera sana, t z like wana hati miliki ya JF the way wanajiweka na kuwaona wengine.....wanakera sana argghhhh
 
Haha kuna pipo zina hati miliki na jf?no wonder muda mwingi wako jf sijui hawana kazi?kama kuna wafulani waanzao na herufi ki.. and k..o haha even nite kali wako jf,i think wako so lonely

Hahahaha hapo unanigusa hata mimi kwenye wazee wa night kali. Kama vipi wataje basi hao wa hizo herufi tajwa ili kama mbwai iwe mbwai nikiwe? nitaanzisha movement ya ma underground hapa JF pls mje mniunge mkono
 
Last edited by a moderator:
++
notifeki
Wewe kama mwana JF mwelewa,,umewapa msaada upi?
Maana unapoomba ushauri ktk jamii pana kama hii ambayo hujui watu wako ktk hali zipi,,unatakiwa uwe na busara ya kuchambua linalokufaa
++
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom