Binti Magufuli
JF-Expert Member
- Apr 2, 2011
- 7,479
- 5,161
nilitaka tu kujua kile kisambaa ulichoandika ni cha mkoa gani vile?
Mghoshi, rumbuja tite oshi.......cha Tanga lushoto
nilitaka tu kujua kile kisambaa ulichoandika ni cha mkoa gani vile?
hahahahahahahaha!hahaha ni lahaja ya bumbui hii
hahahahahahahaha!
nimecheka hadi nikafa nusu, sasa nimefufuka, loh!
leo umenichekesha kwel
Ukipost topic humu kuhusu mambo yaliyokukuta kuna mbuluza either litadelete topic au litapingana na kuiita ya kutunga. Some of us tunatumia hizi forum kutoa yaliyo kwenye moyo yanayohusu mahusiano sasa mbulula linafikiri mtu ana mda wa kutunga story.
Then kuna mbulula lingine litaanza kotoa maneno ya kashfa kama huamini fuatilia....
hahahaaaaa nafungua darasa la Lugha na lugha mojawapo itakayopewa kipaumbele ni hiki Kijerumani cha Kitanzania, wamenipiga BAN lakini nimerudi walidhani siku zinaganda ................
Weka picha.