Humu MMU kuna mambulula wengi wa kifikra.

Humu MMU kuna mambulula wengi wa kifikra.

Hapa watu hatulali kabisa kitu hadi asubuhi, chezea wewe mapenzi na JF
Ndugu yangu JF inasaidia sana kumpa mtu company si unajua humu hakuna kusutwa wala nini tena hata kununiana haimo mtu akiamua kukupa za uso unapewa tu halafu unakua mpole mambo yanaendelea kama kawa. Kiukweli hata mimi naipenda jf
 
ha haaaa, mtani, huu ni utani au?
kwa hiyo ghafla nimekuwa mbulula?

Yaani kitendo tu cha ku-step in kwa hii threas baaaaasi ushabatizwa hiyo nickname hahahaha!!!
Chezeya pesafeki weye, katiririka halafu kasepa katuachia kijiwe siye mambulula tuhanye hanye!!
 
Yaani kitendo tu cha ku-step in kwa hii threas baaaaasi ushabatizwa hiyo nickname hahahaha!!!
Chezeya pesafeki weye, katiririka halafu kasepa katuachia kijiwe siye mambulula tuhanye hanye!!

Ngoja na miye nijiunge chama kubwa la mambulula
 
Kweli mm topic zng kibao zmefutwa

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Shemu hayupo nipo na workmates mahandsamu balaa njoo ujichagulie,siku nikipiga mkwanja mrefu ka leo huwa sitoki na shemu wako,si unajua hutakiwi kumwonyesha mwanaume wat u have ili aendelea kukugharamia

Kumbe unajua namna ya kuplay dem games....we nimekukubali lazima mwaka huu wagharamike bila kupenda
 
Ndugu yangu JF inasaidia sana kumpa mtu company si unajua humu hakuna kusutwa wala nini tena hata kununiana haimo mtu akiamua kukupa za uso unapewa tu halafu unakua mpole mambo yanaendelea kama kawa. Kiukweli hata mimi naipenda jf

Nasikia eti kuna kuchangia JF kwani mkono mtupu haulambwi...hivi wewe ulishachanga?
 
umesema kweli dogo. kuna watu wanaona kama vile jf ni ya baba zao;
 
Ukipost topic humu kuhusu mambo yaliyokukuta kuna mbuluza either litadelete topic au litapingana na kuiita ya kutunga. Some of us tunatumia hizi forum kutoa yaliyo kwenye moyo yanayohusu mahusiano sasa mbulula linafikiri mtu ana mda wa kutunga story.
Then kuna mbulula lingine litaanza kotoa maneno ya kashfa kama huamini fuatilia....

kama ungekuwa mstaarabu ungeandika kistaarabu, fikra zako tu mwenyewe zinakufanya uonekane kituko. Unapotaka kutoa darasa kwa kitu kilichokuudhi itapendeza ukitumia kauli nzuri pia, kusema watu ni "MAMBULULA" haitasaidia ila kuongeza tu mitazamo hasi kwenye post.
 
Back
Top Bottom