Hahahaha hapo unanigusa hata mimi kwenye wazee wa night kali. Kama vipi wataje basi hao wa hizo herufi tajwa ili kama mbwai iwe mbwai nikiwe? nitaanzisha movement ya ma underground hapa JF pls mje mniunge mkono
Mtu unaanzisha thread kama hii hapa chini, kwa nini usipingwe??
Wana MMU hebu someni wenyewe hapa chini...
Hivi kuna Mwanaume Rijali Asiyetembea na Machangu
CC: Mrembo by Nature, nikiwe
watu8 kwa mada hii ni kweli lazima ifutwe au ipuuzwe....huyu dogo as i said hapo juu ana tatizo kwenye uwasilishaji wa mada zake.....Mtu unaanzisha thread kama hii hapa chini, kwa nini usipingwe??
Wana MMU hebu someni wenyewe hapa chini...
Hivi kuna Mwanaume Rijali Asiyetembea na Machangu
CC: Mrembo by Nature, nikiwe
Ha ha ha ha ha haaaaaaaaaaKama wachangiaji ni mambulula sipati picha huyo mleta sredi ana digrii ngapi za umbulula...
Haha tuko pamoko mie ctaji mtu am just saying ha ha ha
Basi pamoja sana...... tuko pamoja wazee wa night kali
Ha ha ha mkuu mbona unanipa copy?mzima lakini niko mitaa ya kati napata wine na mdudu karibu 2day am happy nimepiga bonge la dili
hahahaha nimefurahi sana juu ya wazee wa night kali nikiwe si unajua jf ina members world wide sasa sehemu nyingine pengine inakua kwao mchana wakati sisi kwetu tz ni usiku wa manane.Basi pamoja sana...... tuko pamoja wazee wa night kali
Ukipost topic humu kuhusu mambo yaliyokukuta kuna mbuluza either litadelete topic au litapingana na kuiita ya kutunga. Some of us tunatumia hizi forum kutoa yaliyo kwenye moyo yanayohusu mahusiano sasa mbulula linafikiri mtu ana mda wa kutunga story.
Then kuna mbulula lingine litaanza kotoa maneno ya kashfa kama huamini fuatilia....
MBULULA NDO akina nani?haa haa haa husikii tuu! Utaitw mburula shaul yako!
Tafuta shemu bana,btw karibu wine na mdudu tumalizie siku
Ukipost topic humu kuhusu mambo yaliyokukuta kuna mbuluza either litadelete topic au litapingana na kuiita ya kutunga. Some of us tunatumia hizi forum kutoa yaliyo kwenye moyo yanayohusu mahusiano sasa mbulula linafikiri mtu ana mda wa kutunga story.
Then kuna mbulula lingine litaanza kotoa maneno ya kashfa kama huamini fuatilia....
hahahaha nimefurahi sana juu ya wazee wa night kali nikiwe si unajua jf ina members world wide sasa sehemu nyingine pengine inakua kwao mchana wakati sisi kwetu tz ni usiku wa manane.
Nimeku copy ili ujue aina ya mtu unayemtetea...
Anyway mie mzima sana tu, una raha weye yaani j'3 yote hii wathaminisha mdudu...wakati wenzio hapa twahangaika na kazi za mkoloni!!!
Kweli hilo dili limekuendea mwake mwake!!
Hehehe nakuja kukuunga mguu na mkono, vipi uko na shem na rafiki wa shem ili na mie nisiboeke (kwa lafuthi ya kisambaa)?
watu8 kwa mada hii ni kweli lazima ifutwe au ipuuzwe....huyu dogo as i said hapo juu ana tatizo kwenye uwasilishaji wa mada zake.....
Ila Kuna wakati kweli watu wanaanza kuishabikia mada yako kwamba ni ya uongo au kuibeza hata pale unapoonesha kuwaelewesha kitu ambacho si kizuri hasa ikiwa imepostiwa na underground. Hapa ndio nimesimamia.....