Humu kuna wanaume serious kweli

Humu kuna wanaume serious kweli

Hata na ww haupo serious unatafuta mume mtandaoni!!!!!![emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa hiyo wanaume wa jf ni wagegedaji tuu na suo waoaji[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkuu humu asilimia kubwa ni wanaume walooa.... tofauti na hapo ni wale vijana wa chuo.....sasa hao vijana wa chuo ndo balaa.....sema nilfuta kaushahidi

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Sasa nyie hamtaki kiwa wake wa pili kwa nini?
Unataka niwe mke wa pili......nipe uthibitisho wa mkeo kukubali hilo swala...watu wanauana sana lazima kue na tahadhali....... kingine wanaume wa humu mnapenda sana chura na bikra[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Unataka niwe mke wa pili......nipe uthibitisho wa mkeo kukubali hilo swala...watu wanauana sana lazima kue na tahadhali....... kingine wanaume wa humu mnapenda sana chura na bikra[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Sasa kwa hiyo wewe chura huna na bikra huna🤔🤔🤔🤔
 
Jan Tu nimetoa onyo,Leo anatafuta mwingine jf

Mr That Gentleman unakwama wapi rafiki yangu?..ngoja nikuambie,huyu atakuvumilia wee Ila ipo siku atachoka na siku akija kwangu ndy utajua hujui,maana Mimi ninavyojua kupetipeti na kudekeza km nimetoka India vile😅
Kilichotokea hapo ni bahati mbaya tu... 🤗

Ila Karucee usidanganyike na hizi kampeni, wanasiasa huwa ni waongo tu.
 
Unataka niwe mke wa pili......nipe uthibitisho wa mkeo kukubali hilo swala...watu wanauana sana lazima kue na tahadhali....... kingine wanaume wa humu mnapenda sana chura na bikra[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
yeah sana sana bikra upande was chura sio saaaaana hata mtoni wapo
 
Back
Top Bottom