MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 14,727
- 37,029
Una chura? Acha kutusumbua weka mzigo mezani tuuone
Vigezo ulivyovitaka vilikuponzaNi mwaka jana niliandika uzi wa kutafuta Mme. Wanaopatikana ni waume za watu na vijana wasio serious yaani play boy. Wanawake wenzangu mlifanikiwa kupata wenza au hili limenikuta Mimi tu
Anatusumbua tu, Alishasema anataka wa nyanda za juuUna chura? Acha kutusumbua weka mzigo mezani tuuone
Hilo tangazo mbona sikuliona kipenzi changu jamani!
Vigezo vilikuaje nisije nikaanza kuita kipenzi kumbe sijakidhi vigezo!

Kama hata wewe unayetafuta mume sio bikira pia ni mke wa mtu.Ni mwaka jana niliandika uzi wa kutafuta Mme. Wanaopatikana ni waume za watu na vijana wasio serious yaani play boy. Wanawake wenzangu mlifanikiwa kupata wenza au hili limenikuta Mimi tu
Wewe hauhitaji rafiki wa kiume,! hilo tangazo sikuliona kweli kabisa.
try meNi mwaka jana niliandika uzi wa kutafuta Mme. Wanaopatikana ni waume za watu na vijana wasio serious yaani play boy. Wanawake wenzangu mlifanikiwa kupata wenza au hili limenikuta Mimi tu
Wanaume wapenda vizinga tena wakijua we ni single mom na una ka Kazi kazuri utajutaMtelezo upi huo! Maana upo na wakubwa wenzio humu![]()
utampa mahaba yote eeh!.Umemaanisha Mimi..!!
Yaani asiombe akutane na Mimi hatojutia kamwe.
#YNWA
Weka picha tupo japo hatujioneshi.Weka picha
KiajeNipo hapa sema sina mpango wa kuoa. Sitaki kuwa king'ora mie
Wapo lakini itakubidi uchuje sanaNi mwaka jana niliandika uzi wa kutafuta Mme. Wanaopatikana ni waume za watu na vijana wasio serious yaani play boy. Wanawake wenzangu mlifanikiwa kupata wenza au hili limenikuta Mimi tu
Mambo yasiwe mengi, mimi sina mke ila nina watoto wawili kama upi tayari njoo PMNi mwaka jana niliandika uzi wa kutafuta Mme. Wanaopatikana ni waume za watu na vijana wasio serious yaani play boy. Wanawake wenzangu mlifanikiwa kupata wenza au hili limenikuta Mimi tu
Weka hapa link ya huo uzi wa Mwaka jana basi😊Ni mwaka jana niliandika uzi wa kutafuta Mme. Wanaopatikana ni waume za watu na vijana wasio serious yaani play boy. Wanawake wenzangu mlifanikiwa kupata wenza au hili limenikuta Mimi tu
Wewe umwjuaje wakati wapo couple wamekutana humu na ndoa wamefunga. Sema labda wewe huna bahatiHakuna aloserious humu wengi wanapenda mtelezo
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app