Lovelovie
JF-Expert Member
- Oct 2, 2021
- 13,005
- 27,083
[emoji23][emoji23][emoji23]mwambie nko single naenjoyUmeona huko lakini kuna jamaa anatafuta mke..changamkia fursa
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]mwambie nko single naenjoyUmeona huko lakini kuna jamaa anatafuta mke..changamkia fursa
Wee matumizi mabaya hayo ya mbususu[emoji23][emoji23][emoji23]mwambie nko single naenjoy
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]hii mbususu yangu naitunza hadi irudi bikra.....nyie simlisema mnataka wenye wako sealed sasa mim.....nataka irudi sitak mchezo kabisa[emoji23][emoji23][emoji23]..... nakuzingua mkuu....Wee matumizi mabaya hayo ya mbususu
Mie najua kuna kamjamaa tuu mara moja moja kanapatiwa mbususu kaonje isije ikajaa kutu🤣🤣🤣🤣[emoji23][emoji23][emoji23]hii mbususu yangu naitunza hadi irudi bikra.....nyie simlisema mnataka wenye wako sealed sasa mim.....nataka irudi sitak mchezo kabisa[emoji23][emoji23][emoji23]..... nakuzingua mkuu....
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Sio kajamaa mkuu itabid nmpe heshima yake.......maan ngoja nisiseme sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mie najua kuna kamjamaa tuu mara moja moja kanapatiwa mbususu kaonje isije ikajaa kutu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kumbe ni mtu heavy weight anagegeda mbususuSio kajamaa mkuu itabid nmpe heshima yake.......maan ngoja nisiseme sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kumbe ni mtu heavy weight anagegeda mbususu
Me ntadondokea kwa wanaopenda English figure....na thigh gap[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Na hela huna?
Kumbe we unazo basi nigawie[emoji16][emoji16][emoji16]Na hela huna?
DuhSio kajamaa mkuu itabid nmpe heshima yake.......maan ngoja nisiseme sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Uni PM plsNi mwaka jana niliandika uzi wa kutafuta Mme. Wanaopatikana ni waume za watu na vijana wasio serious yaani play boy. Wanawake wenzangu mlifanikiwa kupata wenza au hili limenikuta Mimi tu
Wanaume tupo , shida mnaweka matangazo yenu, mkitafutwa mnaanza bla bla katika mawasiliano mnashindwa kutofautisha zama zile na leoNi mwaka jana niliandika uzi wa kutafuta Mme. Wanaopatikana ni waume za watu na vijana wasio serious yaani play boy. Wanawake wenzangu mlifanikiwa kupata wenza au hili limenikuta Mimi tu
😂😂[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hivi kumbe huwa mko serious kabisa kutafuta waume humu[emoji2297][emoji2297][emoji2297][emoji2297]
Hawa hawa akina Extrovert au wengine?
Kuwa makini kuwapa no zako ili muwasiliane nje ya jf.watakukula na kuja kukutangaza humu.Ni mwaka jana niliandika uzi wa kutafuta Mme. Wanaopatikana ni waume za watu na vijana wasio serious yaani play boy. Wanawake wenzangu mlifanikiwa kupata wenza au hili limenikuta Mimi tu
Acha kuharibu chakula cha watu..!Kuwa makini kuwapa no zako ili muwasiliane nje ya jf.watakukula na kuja kukutangaza humu.
Anyway sijawahi tafuta mme humu ila nina experience kwa yule alonitafuta humu zamani kidogo. He was super na hakuwa mme wa mtu.
Kama wewe ni mtu makini embu fatilia huyo mtu alijiunga lini jf, pili soma anacho kikoment humu ujuwe unadili na mtu gani.
Nakubaliana na wewe humu wengi waume za watu. Usikubali kukutana na mme wa mtu, je utajuwaje kuwa ni mme wa mtu? Soma coments zote ambazo alishawahi weka humu.ukikuta ni mpuuzi mpuuzi usimpe no.
Ukikuta mtu anatukana matusi humu hata maisha nje ya jf yuko vile vile.
N.b wanaume wasomi na wa maana nikuhakikishie wako humu ila kumjua ni ngumu lazima uwe na ka iq kama kangu.
Ushauri dia embu jaribu nje ya mitandao, unajua mtu akikupenda kwa kukuangalia na akalidhia akachukua no inavutia kidogo.kuliko kukutana na mtu mtandaon siku mnakutana unaona hutompenda.[emoji6]