Humu kuna wanaume kama hawa

Humu kuna wanaume kama hawa

Kwangu Mimi hiyo ni kawaida tu binafsi kuwa handsome ni vizuri napenda kutazama picha zangu mara Kwa mara au kujiangalia kwenye kioo lakini kitu nimenyimwa mpaka sasa ni pesa naamini wakati wangu utafika ntazipata.
Ila fulsa ipo
 
Na ukishajiujua wewe ni handsome pesa utazisikia kwenye bomba bwashee
 
Si kweli mkuu hacha kabisa maisha ni Siri Kuna watu ni ma handsome lakini wanachanganya zege ni swala la muda tu Leo Wana Hela kinoma, hiyo mind sett Yako itoe kichwani mkuu
 
Back
Top Bottom