Bora niende Peru, Lima, biashara ni huria kabisa; unachagua aliyenona mchana kweupee.Tangu kale ndvyo ilivyo , kukwepa haya ni usiwe na upwiru tu bwashee.
Hahaha binti sayuni kweliHawa huwezi kuwapata popote Tanzania hii labda uende Ulaya
Mzuri tu wakawaidaSasa mwanaume uwe hivyo na mwanamke aweje sasa?
Kwani wewe unatafuta mwanaume waku having fun au unatafuta yule wa malengo ya maisha?Uongooo
😅Bora niende Peru, Lima, biashara ni huria kabisa; unachagua aliyenona mchana kweupee.
Jamaa ana mikakati kama gunia salasini hivi.Hilo lazima ataliweka kwenye sera zake.Mcheki Rais wetu Dennis Robert Shughuru anaweza kukusaidia kwa hili.
Yupo mmoja tu Tanzania anajiita Has nini sijui zuHawa huwezi kuwapata popote Tanzania hii labda uende Ulaya
Wa ndoa ila sio humuKwani wewe unatafuta mwanaume waku having fun au unatafuta yule wa malengo ya maisha?
Goodtupo tunabeba zege while our economy is greater than U.S and UK at the same time maokoto is directly propotional or equal to zero
Ila wee jamaa upo serious sana😅👉Nenda maabara ya mkemia mkuu kamtengeneze, usitusumbue.
NB: mental health is real.
Sifa ya uzuri ni kwa Mwanamke pekee..Mzuri tu wakawaida
Kama ni hivyo huwezi ukaangalia uhasome wa Mtu, mwanaume mwenye malengo unapima Kwanza akili yake, upambanaji wake na moyo safi hivyo vingine vinakuwa vya ziada ila ukiupa uhasome kiupaombele ni ngumu kupata mwanaume mwenye Nia ya dhati na weweWa ndoa ila sio humu
Kweli labda asubuhi watalii wakijaHahaha binti sayuni kweli
HahaaaaSifa ya uzuri ni kwa Mwanamke pekee..
Wanaume uzuri wetu ni pale ukiwa na power(money) .. me niko kama mizengo lakin watoto wazuri wananita lee min ho [emoji23]