Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 12,862
- 24,239
Mwanaume anasifiwa vitu tatu tu,
👉 Mfuko uwe sawa, mpunga/eleri/dollari ya mzungu/sumni
👉Mamlaka na sauti ndani ya nyumba iwe ndoa au mahusiano rasmi,
👉6*6 hakuna kuleta huruma wala kujilegeza ni kukaza Tako na kumfanya bibiye asahau shida za Dunia hii na kuipata Raha
Nasikia wanataka wanaume weusi ni watamu huku wakitaka wanaume weupe kwa sababu wazae watoto weupe,
Ukiwa na pesa/mpunga/Mali uhalisia wako utaonekana hivyo ndo vya msingi kwa wanaume
Otherwise uwe Mario au marangirangi usifiwe uzuri