Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 37,346
- 56,072
Maprof. wetu wa uchumi wanasemaje?Nchi inazizidi USA na EU kwa uchumi,wahitaji hela za nini tena?
Maprof. wetu wa uchumi wanasemaje?Nchi inazizidi USA na EU kwa uchumi,wahitaji hela za nini tena?
Na unatembea na makande kwenye kifungashio.Nipo ila sina pesa 😎
Wanasema "nani kama mama"?Maprof. wetu wa uchumi wanasemaje?
UongoooNaishukuru Jf kwa kuruhusu tutumie Anonymous I'd, tungetumia utambulisho halisi wanawake wangenigombania sana
Hali imekuwa ngumu sana mtaani, wadada sasa hivi wanachukulia mahusiano kama ajira ili waweze kupata mahitaji ya msingi yanayotatuliwa na fedha.Watakua wanataka vyote uzuri mmoja wa hivyo huwa wanajionea huruma kutafuta pesa, gademiiit 😅
UnashajibiwaHamtaki hela tena?
Amini uokoke.Uongooo
Wakati mwingine elimu haina maanaWanasema "nani kama mama"?
May beHali imekuwa ngumu sana mtaani, wadada sasa hivi wanachukulia mahusiano kama ajira ili waweze kupata mahitaji ya msingi yanayotatuliwa na fedha.
Ni okoke??Amini uokoke.
Wanaume wa namna hiyo mara nyingi huwa sio wazuri kwenye bed so upo tayari kwenye hiloJe humu kuna,wanaume kama hawa??
Waliowakaaa
Una buku ya karibu hapo?Unashajibiwa
Ni ufunguo malaya hata wehu wanamiliki tu.Wakati mwingine elimu haina maana
UongoooWanaume wa namna hiyo mara nyingi huwa sio wazuri kwenye bed so upo tayari kwenye hilo
Ndilo jibu sahihiMay be
Tangu kale ndvyo ilivyo , kukwepa haya ni usiwe na upwiru tu bwashee.Hali imekuwa ngumu sana mtaani, wadada sasa hivi wanachukulia mahusiano kama ajira ili waweze kupata mahitaji ya msingi yanayotatuliwa na fedha.
Ndiyo.Muamini alichokueleza uende mbinguni kwa madaha.Ni okoke??