Humphrey Polepole; urais wa Tanzania unakuita

Kundi la JPM kwanza Kabisa ni lazima liwe wazi Kabisa kupigania Kariba mpya . Katiba mpya itatufanya wananchi tuchague viongozi tunoona watalivusha taifa hili . Katiba iliyopo haifai mana ni katiba ya kundi la Wachache.
Acheni unafiki, Polepole, Kabudi, na Bashiru wote walikua wajumbe wa Tume ya Warioba ila mlipokua na madaraka mkasahau kabisa kuwa katiba ni muhimu. Leo mmeangushwa ndio mnagundua katiba ni muhimu? Kama sio unafiki ni Nini
 
Tanzania ndiyo nchi pekee duniani ambayo kila raia ana sifa ya kuwa Rais. Yaani hata mtu mwenye afya ya akili anaweza tu kuchaguliwa na chama, na kuwa Rais wa nchi.
 
JPM ndo alikuwa Rais wa mwisho mshamba kwa Tanzania. Washamba na wakurupukaji wasahau tena kupata Urais Tanzania
Ajabu ni pale mshamba anapoita mtu aliyemzidi mafanikio mshamba.

Wewe zaidi ya kufanya kazi kwenye ofisi ya mawakili hujawahi kuwa na mafanikio yeyote Yale.

Lakini bila aibu unamuita mtu aliyekuwa waziri kwa miaka 20 na kuwa Rais kwa miaka sita mshamba.

Ama kweli ushamba mzigo.
 
Huyo Balozi sijui nani ni mpumbavu
 
Polepole ni mzalendo Wa Kweli.

Nitamuombea Kwa Mungu muweza Wa Yote Ili amlinde na kumpa ushindi dhidi ya adui ZAKE na adui Wa Taifa hili Kama Mfalme Daudi. Tunamuhitaji Polepole kuliko wakati Wowote katika nchi hii.

Nitashangaa sana kama kundi kubwa la JPM litasaliti juhudi ZOTE za MAGUFU na Julius Kambarage Nyerere za kulipigania Taifa hili Tangu Ukoloni.
Mbegu aliyoipanda Nyerere ,Karume,Sokoine na MAGUFULI hakika tusikubali ikafishwa na kakundi ka wahuni,wezi, wauaji na wanafiki wanaojali maisha Yao na kuangamiza maisha ya watu wasio na hatia Kwa manufaa ya Wageni wanaoiba mali za umma na kuifanya Tanzania KUWA shamba la Bibi.

Wananchi wengi walimwelewa sana MAGUFULI katika kulipigania Taifa hili . Ni ajabu sana Kama 2025 kundi lililokua linamsaidia JPM katika kuteketeza ndoto za Mwalimu Nyerere Ndani ya MAGUFULI litakaa kimya na kuacha nchi iende kihuni huni .

Polepole ni KIJANA Jasiri sana na anayeichukia rushwa ya kuihujumu taifa Kwa wazi Kabisa.

Kundi la JPM kwanza Kabisa ni lazima liwe wazi Kabisa kupigania Kariba mpya . Katiba mpya itatufanya wananchi tuchague viongozi tunoona watalivusha taifa hili . Katiba iliyopo haifai mana ni katiba ya kundi la Wachache.

Nilijiuliza mara nyingi sana KUWA Kama tulishinda Vita ya Uganda Kwa kupoteza maisha ya Wanajeshi WETU makumi Elfu ni vipi leo tukubali nchi ihujumiwe na kakundi kadogo ambako hakana athari yoyote kwenye nchi zaidi ya familia zao wenyewe . Yaani Miaka nenda Rudi malaria inatusumbua wakati Kuna dawa ya kuua mbu na kumaliza Tatizo. Ni upumbavu mkubwa mpaka Karne hili Bado tunawalisha watu madawa ya malaria Badala ya kuua mbu. Wahuni ni watu wabaya sana

Kila ukiamka unamuotea mtu ndoto ya Urais, Majuzi ulimuotea Bashirus, Jana Mpini, Leo unamuotea polepolew!!!!

Wapumzishe watu wapo msibani!!!
 
Acheni unafiki, Polepole, Kabudi, na Bashiru wote walikua wajumbe wa Tume ya Warioba ila mlipokua na madaraka mkasahau kabisa kuwa katiba ni muhimu. Leo mmeangushwa ndio mnagundua katiba ni muhimu? Kama sio unafiki ni Nini
KATIBA mpya ni dai na takwa la wananchi wote Si CDM pekee.

Tume ya Warioba ilizunguka Nchi nzima kukusanya maoni Kwa wananchi wote katika makundi mbalimbali.

Tuungane pamoja kuidai Katiba mpya, tusipoungana, kamwe hatutoipata.

Amen
 
Polepole ni mzalendo Wa Kweli.

Nitamuombea Kwa Mungu muweza Wa Yote Ili amlinde na kumpa ushindi dhidi ya adui ZAKE na adui Wa Taifa hili Kama Mfalme Daudi. Tunamuhitaji Polepole kuliko wakati Wowote katika nchi hii.

Nitashangaa sana kama kundi kubwa la JPM litasaliti juhudi ZOTE za MAGUFU na Julius Kambarage Nyerere za kulipigania Taifa hili Tangu Ukoloni.
Mbegu aliyoipanda Nyerere ,Karume,Sokoine na MAGUFULI hakika tusikubali ikafishwa na kakundi ka wahuni,wezi, wauaji na wanafiki wanaojali maisha Yao na kuangamiza maisha ya watu wasio na hatia Kwa manufaa ya Wageni wanaoiba mali za umma na kuifanya Tanzania KUWA shamba la Bibi.

Wananchi wengi walimwelewa sana MAGUFULI katika kulipigania Taifa hili . Ni ajabu sana Kama 2025 kundi lililokua linamsaidia JPM katika kuteketeza ndoto za Mwalimu Nyerere Ndani ya MAGUFULI litakaa kimya na kuacha nchi iende kihuni huni .

Polepole ni KIJANA Jasiri sana na anayeichukia rushwa ya kuihujumu taifa Kwa wazi Kabisa.

Kundi la JPM kwanza Kabisa ni lazima liwe wazi Kabisa kupigania Kariba mpya . Katiba mpya itatufanya wananchi tuchague viongozi tunoona watalivusha taifa hili . Katiba iliyopo haifai mana ni katiba ya kundi la Wachache.

Nilijiuliza mara nyingi sana KUWA Kama tulishinda Vita ya Uganda Kwa kupoteza maisha ya Wanajeshi WETU makumi Elfu ni vipi leo tukubali nchi ihujumiwe na kakundi kadogo ambako hakana athari yoyote kwenye nchi zaidi ya familia zao wenyewe . Yaani Miaka nenda Rudi malaria inatusumbua wakati Kuna dawa ya kuua mbu na kumaliza Tatizo. Ni upumbavu mkubwa mpaka Karne hili Bado tunawalisha watu madawa ya malaria Badala ya kuua mbu. Wahuni ni watu wabaya sana

Kiwanda cha kutengenea dawa za kuua mazalia ya mbu Kibaha cha Labiofarm kimetelekezwa ambacho ni cha ubia wa Tanzania na Cuba na baadhi ya viongozi walafi kushadadia wafanyabiashara kuingiza dawa feki. Kiwanda sasa hivi kimejaa majani na panya buku wakizaliana kana kwamba hakuna serikali. Kiwanda kiko karibu na ofisi kuu ya kanda ya Pwani ya NIDA. Aliyekianzisha anacheka tu huku aklimsifia mkalia kiti cha enzi. JPM aliagizwa kila mkurugenzi wa wilaya awe anaenda kununua dawa hapo ili kukuza uchumi wa ndani lakini wapi wanapeana tenda kwa dawa za kuagiza nje zenye bei aghali sana hivyo kuwaumiza wananchi kulipa kodi chefuchefu.

@HPolepole is a potential presidential material as he talks with authority to leverage internal economic growth for the citizens' benefit. We wish him a bright future administering the country as a head of state to further positively transform the drawbacks
 
Polepole ni mzalendo Wa Kweli.

Nitamuombea Kwa Mungu muweza Wa Yote Ili amlinde na kumpa ushindi dhidi ya adui ZAKE na adui Wa Taifa hili Kama Mfalme Daudi. Tunamuhitaji Polepole kuliko wakati Wowote katika nchi hii.

Nitashangaa sana kama kundi kubwa la JPM litasaliti juhudi ZOTE za MAGUFU na Julius Kambarage Nyerere za kulipigania Taifa hili Tangu Ukoloni.
Mbegu aliyoipanda Nyerere ,Karume,Sokoine na MAGUFULI hakika tusikubali ikafishwa na kakundi ka wahuni,wezi, wauaji na wanafiki wanaojali maisha Yao na kuangamiza maisha ya watu wasio na hatia Kwa manufaa ya Wageni wanaoiba mali za umma na kuifanya Tanzania KUWA shamba la Bibi.

Wananchi wengi walimwelewa sana MAGUFULI katika kulipigania Taifa hili . Ni ajabu sana Kama 2025 kundi lililokua linamsaidia JPM katika kuteketeza ndoto za Mwalimu Nyerere Ndani ya MAGUFULI litakaa kimya na kuacha nchi iende kihuni huni .

Polepole ni KIJANA Jasiri sana na anayeichukia rushwa ya kuihujumu taifa Kwa wazi Kabisa.

Kundi la JPM kwanza Kabisa ni lazima liwe wazi Kabisa kupigania Kariba mpya . Katiba mpya itatufanya wananchi tuchague viongozi tunoona watalivusha taifa hili . Katiba iliyopo haifai mana ni katiba ya kundi la Wachache.

Nilijiuliza mara nyingi sana KUWA Kama tulishinda Vita ya Uganda Kwa kupoteza maisha ya Wanajeshi WETU makumi Elfu ni vipi leo tukubali nchi ihujumiwe na kakundi kadogo ambako hakana athari yoyote kwenye nchi zaidi ya familia zao wenyewe . Yaani Miaka nenda Rudi malaria inatusumbua wakati Kuna dawa ya kuua mbu na kumaliza Tatizo. Ni upumbavu mkubwa mpaka Karne hili Bado tunawalisha watu madawa ya malaria Badala ya kuua mbu. Wahuni ni watu wabaya sana

Naunga mkono hoja
 
Naendelea kutoa tahadhari,Kila siku nawaambia Nchi ikiongozwa na Mkristo mjiandae Kwa maumivu maana..

Sijui Huwa ni Kwa sababu ya dini au inatokea tuu watu wa dini Ile kuhadaa watu Kwa propaganda,kufoka foka na wakaaminika mwisho wa siku Huwa ni disaster harafu anakuja Rais wa dini ya upande wa pili kufukia mashimo na uharibifu kama tuu anavyofanya Rais Samia Sasa baada ya uharibifu wa Mwendazake..

Wajamaa ni watu hatari sana sijajua watu wanawezaje kuwaaminisha ilhali mifano ya uharibifu waliofanya tunayo eg Nyerere, Magufuli.
 
material as he talks with authority to leverage internal economic growth for the citizens' benefit. We wish him a bright future administering the country as a head of state to further positively transform the drawbacks
Ooh please stop with this nonsense, Polepole is a mediocre. What did he actually achieve during his tenure?
 
Polepole ni mzalendo Wa Kweli.

Nitamuombea Kwa Mungu muweza Wa Yote Ili amlinde na kumpa ushindi dhidi ya adui ZAKE na adui Wa Taifa hili Kama Mfalme Daudi. Tunamuhitaji Polepole kuliko wakati Wowote katika nchi hii.

Nitashangaa sana kama kundi kubwa la JPM litasaliti juhudi ZOTE za MAGUFU na Julius Kambarage Nyerere za kulipigania Taifa hili Tangu Ukoloni.
Mbegu aliyoipanda Nyerere ,Karume,Sokoine na MAGUFULI hakika tusikubali ikafishwa na kakundi ka wahuni,wezi, wauaji na wanafiki wanaojali maisha Yao na kuangamiza maisha ya watu wasio na hatia Kwa manufaa ya Wageni wanaoiba mali za umma na kuifanya Tanzania KUWA shamba la Bibi.

Wananchi wengi walimwelewa sana MAGUFULI katika kulipigania Taifa hili . Ni ajabu sana Kama 2025 kundi lililokua linamsaidia JPM katika kuteketeza ndoto za Mwalimu Nyerere Ndani ya MAGUFULI litakaa kimya na kuacha nchi iende kihuni huni .

Polepole ni KIJANA Jasiri sana na anayeichukia rushwa ya kuihujumu taifa Kwa wazi Kabisa.

Kundi la JPM kwanza Kabisa ni lazima liwe wazi Kabisa kupigania Kariba mpya . Katiba mpya itatufanya wananchi tuchague viongozi tunoona watalivusha taifa hili . Katiba iliyopo haifai mana ni katiba ya kundi la Wachache.

Nilijiuliza mara nyingi sana KUWA Kama tulishinda Vita ya Uganda Kwa kupoteza maisha ya Wanajeshi WETU makumi Elfu ni vipi leo tukubali nchi ihujumiwe na kakundi kadogo ambako hakana athari yoyote kwenye nchi zaidi ya familia zao wenyewe . Yaani Miaka nenda Rudi malaria inatusumbua wakati Kuna dawa ya kuua mbu na kumaliza Tatizo. Ni upumbavu mkubwa mpaka Karne hili Bado tunawalisha watu madawa ya malaria Badala ya kuua mbu. Wahuni ni watu wabaya sana

Nyerere halinganishwi na huyo wako.
 
Nitamuombea Kwa Mungu muweza Wa Yote Ili amlinde na kumpa ushindi dhidi ya adui ZAKE na adui Wa Taifa hili Kama Mfalme Daudi. Tunamuhitaji Polepole kuliko wakati Wowote katika nchi hii.
Mungu yupi??? Mnamchezea sana Mungu nyie simbilisi za CCM
 
Atakuwa Hangaya wa sukuma gang au Rais wa Manzese
 
Huitaji akili nyingi kugundua kuwa Polepole ni intelligent na hata anavyolizungumzia jambo unamuona kabisa anamaanisha na anavyongea anakufanya utake kumsikiliza zaidi sababu mara nyingi anaongea vitu vinavyowagusa watu moja kwa moja.
 
Back
Top Bottom