Humphrey Polepole; urais wa Tanzania unakuita

CCM ni janga.
Msitegemee mtu, tegemeeni mfumo bora unaowekwa na Katiba ya wananchi
 
Uwe unatumia akili hata kidogo hata kama akili huna unajitahidi kutumia hata common sense although it is not common to everyone!!!
Wewe ndio utumie akili wakati unapodandia hoja za wanaume.
 
Polepole ni mzalendo Wa Kweli.

Nitamuombea Kwa Mungu muweza Wa Yote Ili amlinde na kumpa ushindi dhidi ya adui ZAKE na adui Wa Taifa hili Kama Mfalme Daudi. Tunamuhitaji Polepole kuliko wakati Wowote katika nchi hii.

Nitashangaa sana kama kundi kubwa la JPM litasaliti juhudi ZOTE za MAGUFU na Julius Kambarage Nyerere za kulipigania Taifa hili Tangu Ukoloni.
Mbegu aliyoipanda Nyerere ,Karume,Sokoine na MAGUFULI hakika tusikubali ikafishwa na kakundi ka wahuni,wezi, wauaji na wanafiki wanaojali maisha Yao na kuangamiza maisha ya watu wasio na hatia Kwa manufaa ya Wageni wanaoiba mali za umma na kuifanya Tanzania KUWA shamba la Bibi.

Wananchi wengi walimwelewa sana MAGUFULI katika kulipigania Taifa hili . Ni ajabu sana Kama 2025 kundi lililokua linamsaidia JPM katika kuteketeza ndoto za Mwalimu Nyerere Ndani ya MAGUFULI litakaa kimya na kuacha nchi iende kihuni huni .

Polepole ni KIJANA Jasiri sana na anayeichukia rushwa ya kuihujumu taifa Kwa wazi Kabisa.

Kundi la JPM kwanza Kabisa ni lazima liwe wazi Kabisa kupigania Kariba mpya . Katiba mpya itatufanya wananchi tuchague viongozi tunoona watalivusha taifa hili . Katiba iliyopo haifai mana ni katiba ya kundi la Wachache.

Nilijiuliza mara nyingi sana KUWA Kama tulishinda Vita ya Uganda Kwa kupoteza maisha ya Wanajeshi WETU makumi Elfu ni vipi leo tukubali nchi ihujumiwe na kakundi kadogo ambako hakana athari yoyote kwenye nchi zaidi ya familia zao wenyewe . Yaani Miaka nenda Rudi malaria inatusumbua wakati Kuna dawa ya kuua mbu na kumaliza Tatizo. Ni upumbavu mkubwa mpaka Karne hili Bado tunawalisha watu madawa ya malaria Badala ya kuua mbu. Wahuni ni watu wabaya sana

Vuta bangi kwa faida mfano,unazama shimoni kuchimba madini,shambani kulima na si uvute ili ukabake km ulichokifanya hapa.
Mmeteneza wajinga weeeengi na mtaka tupate kiongozi mkuu wa nchi kutoka kwenye kundi lenu la wajinga.
 
Polepole ni mzalendo Wa Kweli.

Nitamuombea Kwa Mungu muweza Wa Yote Ili amlinde na kumpa ushindi dhidi ya adui ZAKE na adui Wa Taifa hili Kama Mfalme Daudi. Tunamuhitaji Polepole kuliko wakati Wowote katika nchi hii.

Nitashangaa sana kama kundi kubwa la JPM litasaliti juhudi ZOTE za MAGUFU na Julius Kambarage Nyerere za kulipigania Taifa hili Tangu Ukoloni.
Mbegu aliyoipanda Nyerere ,Karume,Sokoine na MAGUFULI hakika tusikubali ikafishwa na kakundi ka wahuni,wezi, wauaji na wanafiki wanaojali maisha Yao na kuangamiza maisha ya watu wasio na hatia Kwa manufaa ya Wageni wanaoiba mali za umma na kuifanya Tanzania KUWA shamba la Bibi.

Wananchi wengi walimwelewa sana MAGUFULI katika kulipigania Taifa hili . Ni ajabu sana Kama 2025 kundi lililokua linamsaidia JPM katika kuteketeza ndoto za Mwalimu Nyerere Ndani ya MAGUFULI litakaa kimya na kuacha nchi iende kihuni huni .

Polepole ni KIJANA Jasiri sana na anayeichukia rushwa ya kuihujumu taifa Kwa wazi Kabisa.

Kundi la JPM kwanza Kabisa ni lazima liwe wazi Kabisa kupigania Kariba mpya . Katiba mpya itatufanya wananchi tuchague viongozi tunoona watalivusha taifa hili . Katiba iliyopo haifai mana ni katiba ya kundi la Wachache.

Nilijiuliza mara nyingi sana KUWA Kama tulishinda Vita ya Uganda Kwa kupoteza maisha ya Wanajeshi WETU makumi Elfu ni vipi leo tukubali nchi ihujumiwe na kakundi kadogo ambako hakana athari yoyote kwenye nchi zaidi ya familia zao wenyewe . Yaani Miaka nenda Rudi malaria inatusumbua wakati Kuna dawa ya kuua mbu na kumaliza Tatizo. Ni upumbavu mkubwa mpaka Karne hili Bado tunawalisha watu madawa ya malaria Badala ya kuua mbu. Wahuni ni watu wabaya sana

Ameshapita tayari
 
Naunga mkono hoja.
Ni kiongozi mwadilifu,ana akili nzuri kabisa na mchapa kazi.
Mungu ampe neema zaidi.
 
Watanzania watamchagua.

Polepole hakupata ziro kama mwenyekiti wako
Mshauri aache ubalozi arudi kufanya maandalizi, uone atakachoambulia.

Msiwe mnadanganyana, mmekaa watatu, watano wenye kiwango sawa cha fikra, halafu mnasema watanzania wanataka. Watanzania ni zaidi ya kakikundi kadogo ka watu.

Pili, Polepole mwenyewe anajua kuwa Tanzania huwa hakuna uchaguzi maana yeye alikuwa ni miongoni mwa wale mashetani wadogo waliokuwa jikoni kuvuruga uchaguzi wa 2020. Anafahamu wazi kura zinatengenezwa na Serikali, na akitoka Serikalini, akigombea, serikali ikitaka apate kura 5, zitaishia hizo hizo.
 
Polepole ni mzalendo Wa Kweli.

Nitamuombea Kwa Mungu muweza Wa Yote Ili amlinde na kumpa ushindi dhidi ya adui ZAKE na adui Wa Taifa hili Kama Mfalme Daudi. Tunamuhitaji Polepole kuliko wakati Wowote katika nchi hii.

Nitashangaa sana kama kundi kubwa la JPM litasaliti juhudi ZOTE za MAGUFU na Julius Kambarage Nyerere za kulipigania Taifa hili Tangu Ukoloni.
Mbegu aliyoipanda Nyerere ,Karume,Sokoine na MAGUFULI hakika tusikubali ikafishwa na kakundi ka wahuni,wezi, wauaji na wanafiki wanaojali maisha Yao na kuangamiza maisha ya watu wasio na hatia Kwa manufaa ya Wageni wanaoiba mali za umma na kuifanya Tanzania KUWA shamba la Bibi.

Wananchi wengi walimwelewa sana MAGUFULI katika kulipigania Taifa hili . Ni ajabu sana Kama 2025 kundi lililokua linamsaidia JPM katika kuteketeza ndoto za Mwalimu Nyerere Ndani ya MAGUFULI litakaa kimya na kuacha nchi iende kihuni huni .

Polepole ni KIJANA Jasiri sana na anayeichukia rushwa ya kuihujumu taifa Kwa wazi Kabisa.

Kundi la JPM kwanza Kabisa ni lazima liwe wazi Kabisa kupigania Kariba mpya . Katiba mpya itatufanya wananchi tuchague viongozi tunoona watalivusha taifa hili . Katiba iliyopo haifai mana ni katiba ya kundi la Wachache.

Nilijiuliza mara nyingi sana KUWA Kama tulishinda Vita ya Uganda Kwa kupoteza maisha ya Wanajeshi WETU makumi Elfu ni vipi leo tukubali nchi ihujumiwe na kakundi kadogo ambako hakana athari yoyote kwenye nchi zaidi ya familia zao wenyewe . Yaani Miaka nenda Rudi malaria inatusumbua wakati Kuna dawa ya kuua mbu na kumaliza Tatizo. Ni upumbavu mkubwa mpaka Karne hili Bado tunawalisha watu madawa ya malaria Badala ya kuua mbu. Wahuni ni watu wabaya sana

Take from me, wasukuma kupewa urais nchi hii tena mhmhhhhhh
 
Kichaa awe rais?
 
Wakati sisi tunataka katiba nyie mlisema mnataka maendeleo kwa Sasa vaisi vesa izi tru. Hata roma amesema hii katiba ni bora ila ni bora kwa watawala......
 
Kiwanda cha kutengenea dawa za kuua mazalia ya mbu Kibaha cha Labiofarm kimetelekezwa ambacho ni cha ubia wa Tanzania na Cuba na baadhi ya viongozi walafi kushadadia wafanyabiashara kuingiza dawa feki. Kiwanda sasa hivi kimejaa majani na panya buku wakizaliana kana kwamba hakuna serikali. Kiwanda kiko karibu na ofisi kuu ya kanda ya Pwani ya NIDA. Aliyekianzisha anacheka tu huku aklimsifia mkalia kiti cha enzi. JPM aliagizwa kila mkurugenzi wa wilaya awe anaenda kununua dawa hapo ili kukuza uchumi wa ndani lakini wapi wanapeana tenda kwa dawa za kuagiza nje zenye bei aghali sana hivyo kuwaumiza wananchi kulipa kodi chefuchefu.

@HPolepole is a potential presidential material as he talks with authority to leverage internal economic growth for the citizens' benefit. We wish him a bright future administering the country as a head of state to further positively transform the drawbacks
Wakati utafika mtu huyu atakalia kiti cha urais kwa maslahi mapana ya wanyonge wa taifa hili, itatokeaje? Mimi na wewe tunaweza tusijue, na hapo ndipo uwezo wa Mungu utakapodhihirika..Tuombe uzima.
 
Bado mnatapatapa tu.
Hamkati tamaa,nyie Kalima yenu uwezo mlionao ni wakuongoza familia zenu tu.

Democrasia sio type yenu.
Mna hasira mno,utadhani Nchi ni ya Baba zenu na urithi.

Unapokuwa unaongoza mamilioni ya watu,usijizime DATA utadhani wote mawazo yako yanatosheleza.

ONE MAN SHOW,uliona wapi?.

Pumbafu Sana😆😄😄😄mmejaa ukuda na husda.
Punguzeni makasiriko.
Then,huu Uzi kawashirikishe ukoo wako.

Okey,ukimaind fresh,maana nipo zangu hapa TOROKA UJE NAPIGA GAMBE.Nipo 'NZII".
 
Wakati utafika mtu huyu atakalia kiti cha urais kwa maslahi mapana ya wanyonge wa taifa hili, itatokeaje? Mimi na wewe tunaweza tusijue, na hapo ndipo uwezo wa Mungu utakapodhihirika..Tuombe uzima.
Hatuwezi kuchagua wehu tena
 
Back
Top Bottom