Humphrey Polepole; urais wa Tanzania unakuita

Polepole ni mzalendo Wa Kweli.

Nitamuombea Kwa Mungu muweza Wa Yote Ili amlinde na kumpa ushindi dhidi ya adui ZAKE na adui Wa Taifa hili Kama Mfalme Daudi. Tunamuhitaji Polepole kuliko wakati Wowote katika nchi hii.

Nitashangaa sana kama kundi kubwa la JPM litasaliti juhudi ZOTE za MAGUFU na Julius Kambarage Nyerere za kulipigania Taifa hili Tangu Ukoloni.
Mbegu aliyoipanda Nyerere ,Karume,Sokoine na MAGUFULI hakika tusikubali ikafishwa na kakundi ka wahuni,wezi, wauaji na wanafiki wanaojali maisha Yao na kuangamiza maisha ya watu wasio na hatia Kwa manufaa ya Wageni wanaoiba mali za umma na kuifanya Tanzania KUWA shamba la Bibi.

Wananchi wengi walimwelewa sana MAGUFULI katika kulipigania Taifa hili . Ni ajabu sana Kama 2025 kundi lililokua linamsaidia JPM katika kuteketeza ndoto za Mwalimu Nyerere Ndani ya MAGUFULI litakaa kimya na kuacha nchi iende kihuni huni .

Polepole ni KIJANA Jasiri sana na anayeichukia rushwa ya kuihujumu taifa Kwa wazi Kabisa.

Kundi la JPM kwanza Kabisa ni lazima liwe wazi Kabisa kupigania Kariba mpya . Katiba mpya itatufanya wananchi tuchague viongozi tunoona watalivusha taifa hili . Katiba iliyopo haifai mana ni katiba ya kundi la Wachache.

Nilijiuliza mara nyingi sana KUWA Kama tulishinda Vita ya Uganda Kwa kupoteza maisha ya Wanajeshi WETU makumi Elfu ni vipi leo tukubali nchi ihujumiwe na kakundi kadogo ambako hakana athari yoyote kwenye nchi zaidi ya familia zao wenyewe . Yaani Miaka nenda Rudi malaria inatusumbua wakati Kuna dawa ya kuua mbu na kumaliza Tatizo. Ni upumbavu mkubwa mpaka Karne hili Bado tunawalisha watu madawa ya malaria Badala ya kuua mbu. Wahuni ni watu wabaya sana

Ana andaliwa kijana ndio maana ako kyuba
 
Nadhani hamjui mtu aliyekuwa vocal akipelekwa ubalozini maana yake nini. Endeleeni kuota
 
Hongera umemalizia vizuri sana mambo ya mbu na malaria, lakini najiuliza nani kakulipa kudropisha huu uzi wa kimkakati hovyo kabisa wewe nawe ni mtu wa hovyo, iweje leo genge la jiwe liwe kipaumbele kupigania katiba mpya ilihali ndilo genge lililoongoza kuivunja katiba.
 
Alafu hii tabia imeanza siku nyingi, eti mtu unatishia kutaja majina ya watu? Unachoficha ni Nini si either ukawashtaki kwa Rais kimya kimya au unyamaze kuliko huu utoto unaita waandishi alafu unasema "majina ninayo....." Ilihali hutaji hata Moja.

Acheni maigizo hayamsaidii mwanachi maskini
Bora hata Bashite aliamua kumtaja Flimani Mboe katika watu wake wa dawa za kulevya.
 
Urais sio kwa ajili ya kila mtu
Mtu mnafiki muongo mwenye siasa chafu ndo unataka awe Rais labda awe Rais wa Familia yako.
 
Polepole ni mzalendo Wa Kweli.

Nitamuombea Kwa Mungu muweza Wa Yote Ili amlinde na kumpa ushindi dhidi ya adui ZAKE na adui Wa Taifa hili Kama Mfalme Daudi. Tunamuhitaji Polepole kuliko wakati Wowote katika nchi hii.

Nitashangaa sana kama kundi kubwa la JPM litasaliti juhudi ZOTE za MAGUFU na Julius Kambarage Nyerere za kulipigania Taifa hili Tangu Ukoloni.
Mbegu aliyoipanda Nyerere ,Karume,Sokoine na MAGUFULI hakika tusikubali ikafishwa na kakundi ka wahuni,wezi, wauaji na wanafiki wanaojali maisha Yao na kuangamiza maisha ya watu wasio na hatia Kwa manufaa ya Wageni wanaoiba mali za umma na kuifanya Tanzania KUWA shamba la Bibi.

Wananchi wengi walimwelewa sana MAGUFULI katika kulipigania Taifa hili . Ni ajabu sana Kama 2025 kundi lililokua linamsaidia JPM katika kuteketeza ndoto za Mwalimu Nyerere Ndani ya MAGUFULI litakaa kimya na kuacha nchi iende kihuni huni .

Polepole ni KIJANA Jasiri sana na anayeichukia rushwa ya kuihujumu taifa Kwa wazi Kabisa.

Kundi la JPM kwanza Kabisa ni lazima liwe wazi Kabisa kupigania Kariba mpya . Katiba mpya itatufanya wananchi tuchague viongozi tunoona watalivusha taifa hili . Katiba iliyopo haifai mana ni katiba ya kundi la Wachache.

Nilijiuliza mara nyingi sana KUWA Kama tulishinda Vita ya Uganda Kwa kupoteza maisha ya Wanajeshi WETU makumi Elfu ni vipi leo tukubali nchi ihujumiwe na kakundi kadogo ambako hakana athari yoyote kwenye nchi zaidi ya familia zao wenyewe . Yaani Miaka nenda Rudi malaria inatusumbua wakati Kuna dawa ya kuua mbu na kumaliza Tatizo. Ni upumbavu mkubwa mpaka Karne hili Bado tunawalisha watu madawa ya malaria Badala ya kuua mbu. Wahuni ni watu wabaya sana

Hii nchi ni ngumu sana..
 
Ni mnaa tu nae... Team magu mwenye mawazo ya kibaguzi, jazba na mihemko..

Yeye na mpina wote ni fungu la kukosa tu ndo maana wanajivika uzalendo. Hamna kitu.

Anyway ndoto ibaki kuwa ndoto...come 2030 we shall see.
 
Acheni unafiki, Polepole, Kabudi, na Bashiru wote walikua wajumbe wa Tume ya Warioba ila mlipokua na madaraka mkasahau kabisa kuwa katiba ni muhimu. Leo mmeangushwa ndio mnagundua katiba ni muhimu? Kama sio unafiki ni Nini
Magu, angeweza kutuletea katiba mpya sababu alikuwa bado anamuda wa kufanya huo mchakato.
Nakwakuwa alikuwa mtu wa maamuzi angeweza kuagiza rasimu ya Warioba itumike ili kuokoa muda.

Otherwise na yeye ningemlaumu kama angemaliza mudawake bila kutuongoza kupata katiba mpya.
 
Ajabu ni pale mshamba anapoita mtu aliyemzidi mafanikio mshamba.

Wewe zaidi ya kufanya kazi kwenye ofisi ya mawakili hujawahi kuwa na mafanikio yeyote Yale.

Lakini bila aibu unamuita mtu aliyekuwa waziri kwa miaka 20 na kuwa Rais kwa miaka sita mshamba.

Ama kweli ushamba mzigo.
We naye akili huna, kwa hiyo msukuma sababu tu ana Hela basi sio mshamba? Hivi hii mentality kwamba mtu kuwa na Akili au exposure ni lazima awe na hela ni Nini?

JPM alikua limbukeni na mshamba sababu alikulia maisha ya kimasikini so kupata PhD, uwaziri na Urais anaona kama ndio anaakili kuliko Kila mtu au yeye ndio anayejua Kila kitu.

Hizo tabia huwezi ziona kwa mtu kama Majaliwa, Lowassa, kikwete, Sumaye, au Mwinyi ambao walikulia maisha ya kistaarabu na malezi.
 
Back
Top Bottom