Ngoja nijaribu kuhoji Hivi pale Komaswa maeneo ya Gachuma wilaya ya Tarime Mkoa wa Mara pesa iliyochangwa KWAAJILI ya kujengea makaburi ya ndugu zetu waliopata ajali wakaungua vibaya kiasi cha kuzikwa eneo la ajali yatajengwa lini? Pesa hizo zipo wapi? Au tumefikia hatua ya kuwaibia hata marehemu?
Hivi tatizo ni CCM au watu waliopo CCM ambao pia wanaweza kuwa Chama chochote?
Hivi mlinzi wa ubadhilifu,ufisaji wizi alikuwa ni peke yake mwendazake wengine haituhusu?
Je,ni kweli Yale maisha tuliyoyachukia mpaka kumuomba MUNGU atupe kiongozi mkali yanaanza KURUDI?
Huyo Humprey Pole Pole kwa sasa amekuwa Mwalimu mzuri sana wa masuala ya uongozi. Je anatumwa na nani! Akina nani wapo nyuma yake??
Nimepitia bandiko lake nikabaini anatumia alama za Bunge na ccm... Je, wao ndo wanamtuma aseme anayosema??