kwani nani amesema atashinda 2020?Rais Magufuli hafurahishwi na mjadala unaoendelea juu ya kuongezwa kwa kipindi cha Urais kutoka miaka 5 hadi miaka 7.
Na je akishindwa nani atashinda 2020?kwani nani amesema atashinda 2020?
You guys mpoje??? Hii nayo inatolewa press na ikulu??? Mambo ya kiccm mnatuletea hovyo kabisaRais Magufuli hafurahishwi na mjadala unaoendelea juu ya kuongezwa kwa kipindi cha Urais kutoka miaka 5 hadi miaka 7.
View attachment 674687
TrueVilevile na watanzania hawafurahishwi na mwenendo wa uongozi ulivyo!
Usiwaamini sana wanasiasa.. Kwa anachokifanya sasa kwa wanasiasa na watu wengine kina tafsiri ndefu... Hivi baada ya muhula huu kwisha na akashinda kisha akasema.... Nimetafakari sana...... Sikutaka kuendelea.... Lakini.....Bora alivyotolea ufafanuzi.....
Sisi wengine tunaona lini atamaliza muda wake aende, halafu miccm eti inataka kumuongezea miaka mingine 2!
Mimi hapa mkuu jiandaeni kuniapisha by 2020Na je akishindwa nani atashinda 2020?