Humphrey Polepole: Rais Magufuli hafurahishwi na mjadala wa kuongezewa miaka ya Urais kutoka 5 hadi 7

Hajafurahishwa awaambie makada wenzake wa CCM ambayo ndo wameleta hiyo hoja ya kipuuzi. Uraisi wenyewe umeshamshinda mpaka sasa hakuna chochote ameweza kufanya zaidi utekaji kuongeza, hali ya uchumi kuwa mbaya, ukandamizaji wa demokrasia, huyu angekuwa na akili angetangaza kuachia madaraka
 
Itakua vema pia kama atakaa hii miaka 5 pekee yake, itapendeza.

Mwambieni wananchi wamemchoka kama hatobadilisha staili ya uongozi wake ni bora aondoke 2020
Umemchoka wewe kilaxa uliyefukuzwa kwa kuwa na cheti feki. Hasira yako kwake haisaidii JPM yupo hadi 2025. Mlitegemea Lowassa naye kawamwaga inabidi mpigie magoti prof Lipumba agombee
 
Rais Magufuli hafurahishwi na mjadala unaoendelea juu ya kuongezwa kwa kipindi cha Urais kutoka miaka 5 hadi miaka 7.
View attachment 674687
Kipi kinatangulia kuku au yai?
Jibu ni kuleta katiba mpya,hayo ya kutawala siku mmoja au kutawala hadi kufa yataelezwa kwenye katiba.Lakini mwendo huu wa kunyofoa jambo mmoja katika mambo millioni yatatuchelewesha kuwa na taifa pevu.
 
Katiba nzuri iko kenya je imewasaidia au ndo kulialia kila kona. JPM atawanyoosha tu. Hii tabia yenu ya uvivu na kuomba omba kwa wajomba mwafaa
 
Umemchoka wewe kilaxa uliyefukuzwa kwa kuwa na cheti feki. Hasira yako kwake haisaidii JPM yupo hadi 2025. Mlitegemea Lowassa naye kawamwaga inabidi mpigie magoti prof Lipumba agombee
Hahaha! Pole sana kijana.

Mimi nimestaafu kazi mwaka 2013

Nakula pensheni tu hapa nilipo. Nawaonea huruma kizazi kipya na mateso yao yaliyoletwa na serikali yao.
 
Upinzani hawawezi furahishwa msimamo kama huu kwa sababu mwenyekiti wao alishabadili katiba yao kimyakimya na hawezi kupinga. Wao mwenyekiti wao ni wamaisha. Na wangepewa dola wangeng'ang'ania. Mungu atuepushe!!.
 
Nyumbu hawawezi furahishwa msimamo kama huu kwa sababu mwenyekiti wao alisha badili katiba yao kimyakimya na hawezi kupinga. Wao mwenyekiti wao ni wamaisha. Na wangepewa dola wangeng'ang'ania. Mungu atuepeshe!!.
IMF
 
Katiba nzuri iko kenya je imewasaidia au ndo kulialia kila kona. JPM atawanyoosha tu. Hii tabia yenu ya uvivu na kuomba omba kwa wajomba mwafaa
Kunyoosha nini wafu?
Katiba nzuri haina loopholes za kugandisha matokeo ya kura.
Mbona sijapata kusikia kama wewe ni hodari sana umegundua kinga ya malaria,au ni tajiri namba mmoja.
Sana sana unaishi kwa kutegemea vimemo au ndio watumia nguvu nyingi kwa kazi ndogo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom