Mzee makoti
JF-Expert Member
- Jul 27, 2016
- 2,597
- 3,093
halafu dada umerukwa na akili, uvuvi na jukwaa la siasa wapi na wapi ??! Haya Wai mwaloni kanunue sato ukatembeze uuze,usiongee mada usizozijua! Umafikiri madhara ya uvuvi haramu kwenye afya ya binadamu! Watu wanapata kansa wewe unakuja kurukia mada hapa!
Unawaita wasukuma mbwa? Kwa hiyo wasukuma hawakuwepo kabla ya Magufuli au Samia? Pumbavu sana na chuki zako za kikabila! Huna la kuwafanya wasukuma pimbi wewe!
kutwa mnamsakama Samia, Magufuli ameshakufa, Now Rais ni Samia hadi 2050, hutaki Hama Nchi