vuvuzela wa ccm huyo, ni mbinu hakuna cha majambazi. Ana maana alikuwa anajadiliana nao wakaondoka kistaarabu? Hao polisi walikuwa upenuni wakimlinda yeye? Mbinu zingine za kilofa sana kutafuta umaarufu. Mandela alishaangaliza kwamba ukitaka kuwa maarufu uwe tayari kwa machungu. Asiweweseke ili apatiwe ulinzi. Kama anataka ving'oling'oli aanze siasa za kwenda yeye mwenyewe ikulu. Labda waume za kina mama anaoambiwa anawachakachua kazini kwake? Maana aliambiwa na msigwa kwamba hajawa mwadilifu na hakujibu mpaka leo. Labda kapora mali za watu wanamlazimisha awarudishie anawageuzia kibao. Simwamini tena dogo polepole amejiharibia heshima yake tangu alipokubali kutumiwa kama toilet paper