hekimatele
JF-Expert Member
- May 31, 2011
- 9,889
- 2,805
ccm wameshaanza kututengenezea matukio.
Unajua ndio tatizo la kuwa jambazi wewe na polisi wewe mwenyewe.
Yaani unavunja sheria na kisha unazilinda baada ya kuzivunja.
nani atapata haki?
ccm wameshaanza kututengenezea matukio.
Mafia mbowe na ukawa wameshaanza kufanya vitu vyaoccm wameshaanza kututengenezea matukio.
Umemaliza yote mkuu, umenikosha sana.
Kwani uongo, ukawa chama cha vibaka na majambazi kama LemaBaadae watakuja kusema UKAWA ni majambazi
Wangekapiga kwanza ndo polisi wafike.....Vijana wanafiki km hao ni wa kuogopwa km ukoma
Angekua kavamiwa wa ukawa kungekua hapatoshi mjini.