Kwani uongo, ukawa chama cha vibaka na majambazi kama Lema
Khaa!! Hata kama kapewa mzigo sawa tu. Nani hataki mzigo? Magufuli? Lowassa? Tumia akili banaPole pole siyo polepole tena ni mwendo kasi. Anataka kuleta sinema za kichina atuambie ukweli ccm wamempa mzigo afanye kampeni kwenye tv
jamani mbona ni kituko cha mwaka eti polisi walifika haraka na akuna majeraha wala kilichoibiwa wala akuna aliye kamatwa du kichekesho kwa sababu kwanza polisi awana rekodi ya kuwai au kusaidia kwenye matukio akunaga iyo masta pili tutaaminije kwamba ni wezi ndio walikuja?
Wewe unayelijua hebu weka habari kamili hapa.Wewe suala la amboni waliita Cinema unalifaham au unaropoka
Aliyekuwa mjumbe wa Tume Maalum ya Katiba (maarufu-Tume ya Warioba) na mchambuzi wa siasa, Humphrey Polepole, usiku wa kuamkia jana alivamiwa na watu wasiojulikana akiwa nyumbani kwake,Mbezi Beach, Dar.
Polisi walifika haraka eneo la tukio. Hakuna madhara yaliyoripotiwa, pia hakuna aliyekamatwa kuhusishwa na tukio hilo.
View attachment 280117
CHANZO: Raia Tanzania
Hivi mbona geshi la polisi halijamuhoji Mkapa kwa kuwaita wananchi wapumbafu na malofa?
Mwache apande mwenyewe kama lowasaToa ulofa wako hapa. Mkapa aliwaita hivyo manyumbu ya ukawa siyo wananchi wote
Aliyekuwa mjumbe wa Tume Maalum ya Katiba (maarufu-Tume ya Warioba) na mchambuzi wa siasa, Humphrey Polepole, usiku wa kuamkia jana alivamiwa na watu wasiojulikana akiwa nyumbani kwake,Mbezi Beach, Dar.
Polisi walifika haraka eneo la tukio. Hakuna madhara yaliyoripotiwa, pia hakuna aliyekamatwa kuhusishwa na tukio hilo.
View attachment 280117
CHANZO: Raia Tanzania
Toa ulofa wako hapa. Mkapa aliwaita hivyo manyumbu ya ukawa siyo wananchi wote
aliyekuwa mjumbe wa tume maalum ya katiba (maarufu-tume ya warioba) na mchambuzi wa siasa, humphrey polepole, usiku wa kuamkia jana alivamiwa na watu wasiojulikana akiwa nyumbani kwake,mbezi beach, dar.
Polisi walifika haraka eneo la tukio. Hakuna madhara yaliyoripotiwa, pia hakuna aliyekamatwa kuhusishwa na tukio hilo.
View attachment 280117
chanzo: raia tanzania
Toa ulofa wako hapa. Mkapa aliwaita hivyo manyumbu ya ukawa siyo wananchi wote