majambazi wa mbezi beach wastaarabu sana , yaani hawakuibii wala kujeruhi , wanapiga story na wewe nakukupa kampani hadi police wanapofika .Na kutambua ustaarabu huu polisi wanawaacha waende tu bila kuwatia mbaroni....
Haya maajabu utayakuta kwa polisi wa Tanzania tu.