Mnyarwanda (Bahima Project) mwenye kujua siri nzito za yanayofanyika Ikulu na hata TISS.
Alafu kuna mtu anakuja kusema Tanzania tuko salama against Bahima Empire Project.
kazi yenu kuteua na kutengua tu hakuna kingine mnachokifanya kwenye nchi hii.Mheshimiwa Balozi nikipata nauli nakuja kukupa hi hapo ubalozini,
Andaa Suti kabisa tusalimiane ukiwa tumevaa suti , ingae Kama ya Makatibu katibu wakuu fulan hivi
Aisee wanajukwaa Karibuni Moscow tupate vodka
Britanicca
Urais wa tff au bodi ya ligi?Polepole nafasi inayomfaa ni ya urais
Wewe tulisha kuzalau hapa jf ,ukitia neno mahala ugeuka gunduIla Pole pole kwa haiba na matendo yake na mazungumzo yake ni mjamaa typical ...
Ataendana na hiyo kasi ya mixed economy?
Unless ni cheo tu, so he should comply and not much to be expected
Angalia mfano wa China. Mmeaminishwa ujamaa.ni mbaya na wamagharibi. Kumbe wao maendeleo waliyopata ni kunyonya malighafi kutoka AfrikaIla Pole pole kwa haiba na matendo yake na mazungumzo yake ni mjamaa typical ...
Ataendana na hiyo kasi ya mixed economy?
Unless ni cheo tu, so he should comply and not much to be expected
Nafasi gani???Mheshimiwa Balozi nikipata nauli nakuja kukupa hi hapo ubalozini,
Andaa Suti kabisa tusalimiane ukiwa tumevaa suti , ingae Kama ya Makatibu katibu wakuu fulan hivi
Aisee wanajukwaa Karibuni Moscow tupate vodka
Britanicca
La nyamitako kupigwa sumu ilikuwa kweli ila la kufa ndiyo alichemsha.Okay. Huyu britanicca siyo wa kumfuatilia sana. Mwaka jana miezi fulani alituamimisha kuwa Paul Makonda amelishwa sumu na ameshakufa.
Tukapoteza muda kushangilia, kumbe ilikuwa FEKERO
True, Demokrasia ni tool of exploitation.Angalia mfano wa China. Mmeaminishwa ujamaa.ni mbaya na wamagharibi. Kumbe wao maendeleo waliyopata ni kunyonya malighafi kutoka Afrika
😀😀Okay. Huyu britanicca siyo wa kumfuatilia sana. Mwaka jana miezi fulani alituamimisha kuwa Paul Makonda amelishwa sumu na ameshakufa.
Tukapoteza muda kushangilia, kumbe ilikuwa FEKERO
Nyamitako kwenye ubora wake.La nyamitako kupigwa sumu ilikuwa kweli ila la kufa ndiyo alichemsha.
Chupuchupu amfuate muuaji mwenzake.Nyamitako kwenye ubora wake.
..hakuna nitakachoongeza zaidi ya kushiriki uovu, am not type of hand to mouth..Wewe ukipewa una ubavu wa kukataa?!
🚮🚮Polepole has the potential to be a good president. Namkubali.
Jipige finger.
Sure Bora awamu ijayo wampe polepole anaweza kutuvusha somewhere maana wale wahuni alowasema kipindi wanakula teuzi mama akampuuza hata yeye mama alikuja kujionea mwenyewePolepole has the potential to be a good president. Namkubali.
Kwaiyo alijipimia na kimwili chake mwenyewe 😄Pole Pole Anakumbuka Dodoma Kitanda Chake Cha Futi Mbili Na Show Alikuwa Anapiga
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Urais wa tff au bodi ya ligi?
Mpango ameamua kujitenga na watenda maovu.Kwahiyo Pole Pole anachukua nafasi ya Nchimbi, na Nchimbi anajiandaa kuchukua nafasi ya Mpango?
Mpango nae ana mpango upi? Uwiiiiiih
Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app