Humphrey Polepole ajibu mapigo baada ya Samia Suluhu Hassan kuchukua fomu ya urais 09 agosti 2025

Bagamoyo

Platinum Member
Joined
Jan 14, 2010
Posts
29,869
Reaction score
34,025
09 Agosti 2025
Mtaa wa Kajificheni
Intaneti

HUMPHREY POLEPOLE AJIBU MAPIGO BAADA YA RAIS SAMIA KUCHUKUA FOMU YA URAIS LEO 09 AGOSTI 2025

View: https://m.youtube.com/watch?v=u2E3mF2fqQo
Mubashara kwa kustukiza Humphrey Polepole mambo matatu

  1. Samia Suluhu Hassan kuchukua fomu ya kugombea urais
  2. Kwa mara ya kwanza Mgombea wetu na mgombea mweza wa CCM wamejilazimisha kugombea nafasi hizo ..
  3. Mungu siyo wa kuchezea, tusikilize clip fupi ya Hotuba ya leo pale White House Dodoma, ngoja niwachezeshee clip alichozungumza mgombea urais Samia Hassan kwa kuwa leo tupo interactive (kuwashirikisha) ..
  4. Dr. Emmanuel Nchimbi maneno yake yanachambuliwa ktk clip hiyo fupi.. Humphrey Polepole anatafsiri walichuzungumza leo baada ya kuchukua fomu
  5. Wagombea wa CCM wameteleza ktk hotuba zao hasa maneno ya Dr. Emmanuel Nchimbi " nitakuwa msaidizi wako sitakuwa mshindani wako.."
  6. Maneno ya Dr. Nchimbi maneno hayo amelazimishwa aseme ...maana tunajua haiwezekani makamu kushindana na bosi wake ..
  7. Desturi ya Unyenyekevu ktk clip ya hotuba ya Dr. Nchimbi sikuiona ...
  8. Nimefanya kazi na Dr. Shein na makamu wengine sikuwahi kuona maneno ya kama leo ..
  9. Dr. Omar Ali Juma ... pia sikuona anasema Polepole, sasa ushindani kati ya Samia na Nchimbi tuliyosikia inaishiria nini ...anahoji Polepole
  10. N.k
Rais Sqmia umezingirwa na kundi la wana mtandao, kwa hakika kuelekea October 2025 hakuna uchaguzi.

CCM kwenda kushindana na CHAUMMA chama cha mkobani (briefcase) kilichopaishwa kimkakati , mzee wa Ubwabwa Hashim Rungwe amepata wapi pesa za kuzungukal nchi nzima.

Mimi kama mwanamkakati mzoefu wa CCM leo Dodoma kulikuwa hakuna hamasa, shauku ya kumuona mgombea wa urais leo Dodoma haikuwepo...

Samia Hassan kushindana na Salum Mwalimu, kweli CCM hii imeshuka viwango kwenda kujifanya wanaushindani wa urais na CHAUMMA . Hivi kweli kuna kitu gani wanaweza CCM kumkosoa kisera Salum Mwalimu ? Anahoji Humphrey Polepole..

Na ndiyo maana nimesema umuhimu wa kumwaga oil 🛢 CCM ije na mgombea urais mpya, badala ya ndugu Samia Suluhu Hassan ...

Mwanasheria msomi Albert Msando aliye mkuu wa wilaya ya Ubungo amekuja mtandaoni na kunihoji mimi (Polepole) ....

Watia nia wa urais CCM Kutimiza masharti ya INEC kutafuta wadhamini wakati mchakato ndani ya chama fomu haikuzungushwa nchi nzima ..utaleta mambo ..
 
Kwahiyo shida yake ni Samia tu na sio aina washindani alionao kama anavyojitahidi kujinafiki? Akija mwingine tofauti na Samia ni sawa ashindane tu na hao kina mpina na SALUMU mwalimu? Chuki zikizodi akili na busara huondoka. Ajie tu kuwa Mama la Mamama, Dr Samia Suluhu Hassan, ukipenda muite The Mother of Modern Tanzania, ameshachukia fomu tena live kabisa Ili hako kapolepole na kakundi kake ka nyumbu wachache kutoka chadema waone na wafanye hiko walichopanga kufanya kama Wana uwezo huo.........shwaiiiiin!!

Jambo la kupendeza ni kuwa mama kawakaushia tu, anaendelea na mambo yake ya kujenga nchi. Kimbaumbau kimeachwa kiropokeeee kinavyoweza; muda si mrefu kitaanza umbea itamuishia ataanza kurudia alikotoka. Kifupi, clips zake ni nzuri kwa wasio na mipango na wajinga.
 
amesema hivyo vyama anavyoshindana navyo hakuna anayejuwa ndani ya ccm ni vyama vya kazi maalumu akimaanisha ni ccm B na CCM C kwa maana hiyo pale hakuna mshindani anayeshindana na Samia isipokuwa ni kuaminisha dunia kuwa tuna upinzani 😁😁😁yani kodi zetu zinaenda kuteketezwa kwa uchaguzi ambao haupo mimi naona wajiapishe tu
 
09 Agosti 2025
Mtaa wa Kajificheni
Intaneti

HUMPHREY POLEPOLE AJIBU MAPIGO BAADA YA RAIS SAMIA KUCHUKUA FOMU YA URAIS LEO 09 AGOSTI 2025

View: https://m.youtube.com/watch?v=u2E3mF2fqQo
Mubashara kwa kustukiza Humphrey Polepole mambo matatu

  1. Samia Suluhu Hassan kuchukua fomu ya kugombea urais
  2. Kwa mara ya kwanza Mgombea wetu na mgombea mweza wa CCM wamejilazimisha kugombea nafasi hizo ..
  3. Mungu siyo wa kuchezea, tusikilize clip fupi ya Hotuba ya leo pale White House Dodoma, ngoja niwachezeshee clip alichozungumza mgombea urais Samia Hassan kwa kuwa leo tupo interactive (kuwashirikisha) ..
  4. Dr. Emmanuel Nchimbi maneno yake yanachambuliwa ktk clip hiyo fupi.. Humphrey Polepole anatafsiri walichuzungumza leo baada ya kuchukua fomu
  5. Wagombea wa CCM wameteleza ktk hotuba zao hasa maneno ya Dr. Emmanuel Nchimbi " nitakuwa msaidizi wako sitakuwa mshindani wako.."
  6. Maneno ya Dr. Nchimbi maneno hayo amelazimishwa aseme ...maana tunajua haiwezekani makamu kushindana na bosi wake ..
  7. Desturi ya Unyenyekevu ktk clip ya hotuba ya Dr. Nchimbi sikuiona ...
  8. Nimefanya kazi na Dr. Shein na makamu wengine sikuwahi kuona maneno ya kama leo ..
  9. Dr. Omar Ali Juma ... pia sikuona anasema Polepole, sasa ushindani kati ya Samia na Nchimbi tuliyosikia inaishiria nini ...anahoji Polepole
  10. N.k
Rais Sqmia umezingirwa na kundi la wana mtandao, kwa hakika kuelekea October 2025 hakuna uchaguzi.

CCM kwenda kushindana na CHAUMMA chama cha mkobani (briefcase) kilichopaishwa kimkakati , mzee wa Ubwabwa Hashim Rungwe amepata wapi pesa za kuzungukal nchi nzima.

Mimi kama mwanamkakati mzoefu wa CCM leo Dodoma kulikuwa hakuna hamasa, shauku ya kumuona mgombea wa urais leo Dodoma haikuwepo...

Samia Hassan kushindana na Salum Mwalimu, kweli CCM hii imeshuka viwango kwenda kujifanya wanaushindani wa urais na CHAUMMA . Hivi kweli kuna kitu gani wanaweza CCM kumkosoa kisera Salum Mwalimu ? Anahoji Humphrey Polepole..

Na ndiyo maana nimesema umuhimu wa kumwaga oil 🛢 CCM ije na mgombea urais mpya, badala ya ndugu Samia Suluhu Hassan ...

Mwanasheria msomi Albert Msando aliye mkuu wa wilaya ya Ubungo amekuja mtandaoni na kunihoji mimi (Polepole) ....

Watia nia wa urais CCM Kutimiza masharti ya INEC kutafuta wadhamini wakati mchakato ndani ya chama fomu haikuzungushwa nchi nzima ..utaleta mambo ..

Huyo alishamaliza mora authority Kipindi anashabikia kilq kilichokua kiovu kwa jamii enzi akiwa na nguvu

Haki haina msimu…
 
Minong’ono ilizidi sana kuwa Mbrazili ni mshindani na wala si msaidizi . Sina uhakika kama ni kwa hiari au kwa kulazimishwa, Mbrazili amaweka assurance hadharani kuwa yeye ni msaidizi na wala si mshindani wake.

Wahuni mwaka huu wanashughuli.
 
Wizi, ubadhirifu, udanganyifu, uporaji!! Hashim Rungwe kapata wapi pesa za kuzunguka nchi nzima? Miaka yote ya chaguzi zilizopota hatukuwahi kuona nguvu hii kubwa. Watanzania Kodi zetu hizo. Ipo siku haya mazingaombwe yatakuja kupata majibu tu.
 
09 Agosti 2025
Mtaa wa Kajificheni
Intaneti

HUMPHREY POLEPOLE AJIBU MAPIGO BAADA YA RAIS SAMIA KUCHUKUA FOMU YA URAIS LEO 09 AGOSTI 2025

View: https://m.youtube.com/watch?v=u2E3mF2fqQo
Mubashara kwa kustukiza Humphrey Polepole mambo matatu

  1. Samia Suluhu Hassan kuchukua fomu ya kugombea urais
  2. Kwa mara ya kwanza Mgombea wetu na mgombea mweza wa CCM wamejilazimisha kugombea nafasi hizo ..
  3. Mungu siyo wa kuchezea, tusikilize clip fupi ya Hotuba ya leo pale White House Dodoma, ngoja niwachezeshee clip alichozungumza mgombea urais Samia Hassan kwa kuwa leo tupo interactive (kuwashirikisha) ..
  4. Dr. Emmanuel Nchimbi maneno yake yanachambuliwa ktk clip hiyo fupi.. Humphrey Polepole anatafsiri walichuzungumza leo baada ya kuchukua fomu
  5. Wagombea wa CCM wameteleza ktk hotuba zao hasa maneno ya Dr. Emmanuel Nchimbi " nitakuwa msaidizi wako sitakuwa mshindani wako.."
  6. Maneno ya Dr. Nchimbi maneno hayo amelazimishwa aseme ...maana tunajua haiwezekani makamu kushindana na bosi wake ..
  7. Desturi ya Unyenyekevu ktk clip ya hotuba ya Dr. Nchimbi sikuiona ...
  8. Nimefanya kazi na Dr. Shein na makamu wengine sikuwahi kuona maneno ya kama leo ..
  9. Dr. Omar Ali Juma ... pia sikuona anasema Polepole, sasa ushindani kati ya Samia na Nchimbi tuliyosikia inaishiria nini ...anahoji Polepole
  10. N.k
Rais Sqmia umezingirwa na kundi la wana mtandao, kwa hakika kuelekea October 2025 hakuna uchaguzi.

CCM kwenda kushindana na CHAUMMA chama cha mkobani (briefcase) kilichopaishwa kimkakati , mzee wa Ubwabwa Hashim Rungwe amepata wapi pesa za kuzungukal nchi nzima.

Mimi kama mwanamkakati mzoefu wa CCM leo Dodoma kulikuwa hakuna hamasa, shauku ya kumuona mgombea wa urais leo Dodoma haikuwepo...

Samia Hassan kushindana na Salum Mwalimu, kweli CCM hii imeshuka viwango kwenda kujifanya wanaushindani wa urais na CHAUMMA . Hivi kweli kuna kitu gani wanaweza CCM kumkosoa kisera Salum Mwalimu ? Anahoji Humphrey Polepole..

Na ndiyo maana nimesema umuhimu wa kumwaga oil 🛢 CCM ije na mgombea urais mpya, badala ya ndugu Samia Suluhu Hassan ...

Mwanasheria msomi Albert Msando aliye mkuu wa wilaya ya Ubungo amekuja mtandaoni na kunihoji mimi (Polepole) ....

Watia nia wa urais CCM Kutimiza masharti ya INEC kutafuta wadhamini wakati mchakato ndani ya chama fomu haikuzungushwa nchi nzima ..utaleta mambo ..

Nenda ukatibiwe mkuu utakufa uache watu TUNATIKI OCTOBER
 
Prophet Edmund kwenye prophecies zake juzi amesema anaona pembe kuu ikisuguana au kupingana na pembe saidizi na kupelekea makubaliano yote yalifanyika Dodoma kuvunjika
Tushawachoka nyie hata mkinya mnanukuu tantarira zenu
 
1754799493821.jpeg
 
Kwahiyo shida yake ni Samia tu na sio aina washindani alionao kama anavyojitahidi kujinafiki? Akija mwingine tofauti na Samia ni sawa ashindane tu na hao kina mpina na SALUMU mwalimu? Chuki zikizodi akili na busara huondoka. Ajie tu kuwa Mama la Mamama, Dr Samia Suluhu Hassan, ukipenda muite The Mother of Modern Tanzania, ameshachukia fomu tena live kabisa Ili hako kapolepole na kakundi kake ka nyumbu wachache kutoka chadema waone na wafanye hiko walichopanga kufanya kama Wana uwezo huo.........shwaiiiiin!!

Jambo la kupendeza ni kuwa mama kawakaushia tu, anaendelea na mambo yake ya kujenga nchi. Kimbaumbau kimeachwa kiropokeeee kinavyoweza; muda si mrefu kitaanza umbea itamuishia ataanza kurudia alikotoka. Kifupi, clips zake ni nzuri kwa wasio na mipango na wajinga.
Hapo CHADEMA imeingiaje,, aliesema ni Polepole, mwana CCM, ebu tumjibu polepole .Kitu nilichojifunza CHADEMA IPO mioyoni kwa wana CCM, Kiongozi au mwanachama yeyote akiizungumza jambo lenye mantiki, ukweli hoja thabiti, huyo ni CHADEMA, swali je CCM hakuna watu wanaoweza kuusema ukweli, kuwa wazalendo mpaka atoke upande wa pili ?
 
An
09 Agosti 2025
Mtaa wa Kajificheni
Intaneti

HUMPHREY POLEPOLE AJIBU MAPIGO BAADA YA RAIS SAMIA KUCHUKUA FOMU YA URAIS LEO 09 AGOSTI 2025

View: https://m.youtube.com/watch?v=u2E3mF2fqQo
Mubashara kwa kustukiza Humphrey Polepole mambo matatu

  1. Samia Suluhu Hassan kuchukua fomu ya kugombea urais
  2. Kwa mara ya kwanza Mgombea wetu na mgombea mweza wa CCM wamejilazimisha kugombea nafasi hizo ..
  3. Mungu siyo wa kuchezea, tusikilize clip fupi ya Hotuba ya leo pale White House Dodoma, ngoja niwachezeshee clip alichozungumza mgombea urais Samia Hassan kwa kuwa leo tupo interactive (kuwashirikisha) ..
  4. Dr. Emmanuel Nchimbi maneno yake yanachambuliwa ktk clip hiyo fupi.. Humphrey Polepole anatafsiri walichuzungumza leo baada ya kuchukua fomu
  5. Wagombea wa CCM wameteleza ktk hotuba zao hasa maneno ya Dr. Emmanuel Nchimbi " nitakuwa msaidizi wako sitakuwa mshindani wako.."
  6. Maneno ya Dr. Nchimbi maneno hayo amelazimishwa aseme ...maana tunajua haiwezekani makamu kushindana na bosi wake ..
  7. Desturi ya Unyenyekevu ktk clip ya hotuba ya Dr. Nchimbi sikuiona ...
  8. Nimefanya kazi na Dr. Shein na makamu wengine sikuwahi kuona maneno ya kama leo ..
  9. Dr. Omar Ali Juma ... pia sikuona anasema Polepole, sasa ushindani kati ya Samia na Nchimbi tuliyosikia inaishiria nini ...anahoji Polepole
  10. N.k
Rais Sqmia umezingirwa na kundi la wana mtandao, kwa hakika kuelekea October 2025 hakuna uchaguzi.

CCM kwenda kushindana na CHAUMMA chama cha mkobani (briefcase) kilichopaishwa kimkakati , mzee wa Ubwabwa Hashim Rungwe amepata wapi pesa za kuzungukal nchi nzima.

Mimi kama mwanamkakati mzoefu wa CCM leo Dodoma kulikuwa hakuna hamasa, shauku ya kumuona mgombea wa urais leo Dodoma haikuwepo...

Samia Hassan kushindana na Salum Mwalimu, kweli CCM hii imeshuka viwango kwenda kujifanya wanaushindani wa urais na CHAUMMA . Hivi kweli kuna kitu gani wanaweza CCM kumkosoa kisera Salum Mwalimu ? Anahoji Humphrey Polepole..

Na ndiyo maana nimesema umuhimu wa kumwaga oil 🛢 CCM ije na mgombea urais mpya, badala ya ndugu Samia Suluhu Hassan ...

Mwanasheria msomi Albert Msando aliye mkuu wa wilaya ya Ubungo amekuja mtandaoni na kunihoji mimi (Polepole) ....

Watia nia wa urais CCM Kutimiza masharti ya INEC kutafuta wadhamini wakati mchakato ndani ya chama fomu haikuzungushwa nchi nzima ..utaleta mambo .

Polepole anaweweseka sana
 
Back
Top Bottom