Hukumu ya Mwisho itakua kwaajili ya Wachawi, Wazinzi na Wote Wanaofanya dhambi za machukizo mbele za Mungu

Gospel KTV

Member
Joined
Aug 23, 2025
Posts
33
Reaction score
24
Ndugu zangu, msidanganyike! Dhambi si mchezo, na kila dhambi inaleta madhara makubwa kwa mtu binafsi, kwa jamii, na kwa taifa. Wacha tuchambue kwa mwanga wa Neno la Mungu.

1. Wachawi
Biblia inasema wazi, “Wala msijihusishe na wachawi.” (Walawi 19:31). Uchawi unaharibu kizazi kizima, unavunja familia, na unaua ndoto za watu. Wachawi hutumia nguvu za giza kuwafunga watu kimaisha, kuwapandikizia magonjwa yasiyoelezeka, kufunga kizazi, au kuua ndoto za kiroho na kimwili. Madhara yao ni makubwa wanaharibu kizazi kizima bila huruma. Wanaeneza hofu, giza na kifo. Huo ndio udhalimu unaomchukiza Mungu.

2. Wazinzi
Biblia inasema, “Mzinzi na mwasherati Mungu atawahukumu.” (Waebrania 13:4). Uzinzi unaharibu ndoa, unavunja familia, unaleta watoto wa mateso wasio na malezi ya pamoja, na kusababisha magonjwa ya zinaa yanayoua watu kwa mamilioni. Uzinzi umevunja uaminifu katika jamii, umeleta watoto kukosa heshima kwa wazazi, na umegeuza mwili uliotakaswa kuwa hekalu la dhambi. Madhara yake ni maumivu, machozi, na vizazi visivyo na maadili.

3. Waongo, Wanyang’anyi na Wafanyaji Dhambi za Machukizo
Biblia inasema, “Wala waongo wote sehemu yao ni katika lile ziwa liwakalo moto.” (Ufunuo 21:8). Uongo unaharibu imani ya mtu kwa jirani yake, unavunja mshikamano wa jamii, na unasababisha umaskini kwa sababu watu huishi kwa hila badala ya haki. Wanyang’anyi na watenda dhambi za machukizo wanamwaga damu isiyo na hatia, wanapora mali za wanyonge, na kupindua haki za maskini. Madhara yao ni taifa lililopoteza haki, taifa lililopoteza amani, na kizazi kisichomcha Mungu.

Ndugu yangu, madhara haya yote tunayoyaona leo familia kuvunjika, magonjwa kutamalaki, vijana kufa mapema, taifa kupoteza maadili chanzo chake ni haya machukizo mbele za Mungu. Ndiyo maana Hukumu ya Mwisho itakuwa ya kweli na kali. Mungu si mkatili, bali ni mwenye haki. Anatenda kwa sababu dhambi hizi zimeharibu ulimwengu wake.

Lakini kuna tumaini! Yesu alikuja kutufungua kutoka kwa laana hizi. “Kwa hiyo Mwana wa Mungu akiwafanya huru, mtakuwa huru kweli kweli.” (Yohana 8:36). Usidanganywe na raha za muda mfupi za dhambi gharama yake ni kubwa mno.
 
SOMA ZABURI YA 145

BWANA ana fadhili, ni mwingi wa huruma, Si mwepesi wa hasira, ni mwingi wa rehema, BWANA ni mwema kwa watu wote,
 
Acha makundi jumuish, Wataje kwa majina kama kweli kwenye dini hakuna unafiki.
 
Kazi ya kuhuhumu ni ya Mungu hata hivyo siku hizi Kuna dhambi mpya yaani toleo jipya la dhambi😂😂😂 mfano kuwa mfuasi wa chama kinachoteka na kupoteza watu ni dhambi kubwa kabisa😡😡😡
 
Cheers 🍻 walevi hatupo mwanawane
20250719_082812.jpg
 
Ndugu zangu, msidanganyike! Dhambi si mchezo, na kila dhambi inaleta madhara makubwa kwa mtu binafsi, kwa jamii, na kwa taifa. Wacha tuchambue kwa mwanga wa Neno la Mungu.

1. Wachawi
Biblia inasema wazi, “Wala msijihusishe na wachawi.” (Walawi 19:31). Uchawi unaharibu kizazi kizima, unavunja familia, na unaua ndoto za watu. Wachawi hutumia nguvu za giza kuwafunga watu kimaisha, kuwapandikizia magonjwa yasiyoelezeka, kufunga kizazi, au kuua ndoto za kiroho na kimwili. Madhara yao ni makubwa wanaharibu kizazi kizima bila huruma. Wanaeneza hofu, giza na kifo. Huo ndio udhalimu unaomchukiza Mungu.

2. Wazinzi
Biblia inasema, “Mzinzi na mwasherati Mungu atawahukumu.” (Waebrania 13:4). Uzinzi unaharibu ndoa, unavunja familia, unaleta watoto wa mateso wasio na malezi ya pamoja, na kusababisha magonjwa ya zinaa yanayoua watu kwa mamilioni. Uzinzi umevunja uaminifu katika jamii, umeleta watoto kukosa heshima kwa wazazi, na umegeuza mwili uliotakaswa kuwa hekalu la dhambi. Madhara yake ni maumivu, machozi, na vizazi visivyo na maadili.

3. Waongo, Wanyang’anyi na Wafanyaji Dhambi za Machukizo
Biblia inasema, “Wala waongo wote sehemu yao ni katika lile ziwa liwakalo moto.” (Ufunuo 21:8). Uongo unaharibu imani ya mtu kwa jirani yake, unavunja mshikamano wa jamii, na unasababisha umaskini kwa sababu watu huishi kwa hila badala ya haki. Wanyang’anyi na watenda dhambi za machukizo wanamwaga damu isiyo na hatia, wanapora mali za wanyonge, na kupindua haki za maskini. Madhara yao ni taifa lililopoteza haki, taifa lililopoteza amani, na kizazi kisichomcha Mungu.

Ndugu yangu, madhara haya yote tunayoyaona leo familia kuvunjika, magonjwa kutamalaki, vijana kufa mapema, taifa kupoteza maadili chanzo chake ni haya machukizo mbele za Mungu. Ndiyo maana Hukumu ya Mwisho itakuwa ya kweli na kali. Mungu si mkatili, bali ni mwenye haki. Anatenda kwa sababu dhambi hizi zimeharibu ulimwengu wake.

Lakini kuna tumaini! Yesu alikuja kutufungua kutoka kwa laana hizi. “Kwa hiyo Mwana wa Mungu akiwafanya huru, mtakuwa huru kweli kweli.” (Yohana 8:36). Usidanganywe na raha za muda mfupi za dhambi gharama yake ni kubwa mno.
Kuna jambo moja kubwa na la msingi ambalo watu wengi sana hawalifahamu. Nalo ni hili kwamba dhambi kubwa kuliko zote ni kukataa kumuamini Yesu Kristo kama Bwana na Mwokozi binafsi. Hicho tu ndicho kitawapeleka watu Jehanamu. Masuala mengine kama uzinzi, uchawi, uuwaji ni matokeo ya kumkataa Yesu. Hivyo, kama mtu anatenda matendo mema lakini hajamkubali na kumuamini Yesu kama ni Bwana na Mwokozi wake binafsi, hawezi kumuona Mungu.
 
Dhambi zote ni sawa mbele za Mungu, usidanganyike muumini.
Kuamini ni pamoja na kuachana na dhambi siyo kwa kinywa tu. Kunena ni rahisi sana, matendo sasa yanaenda na unenacho?
Yak 2:17-26.

Warumi (Rom) 10:10 Kwa maana kwa moyo mtu huamini hata kupata haki, na kwa kinywa hukiri hata kupata wokovu.

Ufunuo wa Yohana (Rev) 21:8 Bali waoga, na wasioamini, na wachukizao, na wauaji, na wazinzi, na wachawi, na hao waabuduo sanamu, na waongo wote, sehemu yao ni katika lile ziwa liwakalo moto na kiberiti. Hii ndiyo mauti ya pili.
Ukiona hili andiko utaona jinsi dhambi zilivo sawa ukubwa, kimo na urefu
 
Back
Top Bottom