Hongera kaka Lisu mpaka natamani hapa ningejivua gamba kwa kutumia jina langu halisi, wewe ni symbol ya ushindi na aina ya vijana tunaowataka sio wakina January makamba wanaotumia ujana kuiba kama baba zao, tunasubiri kwa hamu kupata repoti ya ununuzi wa mafuta mazito ya kufua umeme. Sasa back to the issue, sisi wengine huku tulipata bahati mbaya ya kuwa na hicho kituko kinachoitwa Njau, kwanza haikuniingia kabisa kwamba ndio aliyekua analalamikia ushindi wa Lisu, alishindwa hata kabla ya kuanza mchakato, msomi mzima hajua mpaka leo kwamba siasa za sasa ni harakati? hajafanya lolote kwa yoyote jamaa very selfish, hana leadership quality hata za kuongoza nyumba yake, arrogant wa hali ya juu, hata majirani zake hana habari nao kusalimia tu ni kazi kwake, alileta vurugu kubwa DSE mpaka board chairman wake Mr Maganga akajiuzuli lakini kwa kiburi cha wakina lowasa huyu bwana akang'ang'ania, hata pamoja na kubebwa na wakina maghji washenzi wenzake pia ilibidi atoke, mara kaanzisha baa yeye mwenyewe tena anapiga wateja wake waliolewea kwake kisa wanampigia kelele baada ya kulewa, baa pia ikamshinda, hivi sasa tangu ashindwe ubunge kamnunia kila mtu including sisi tuliosoma nae, hata mkikutana nae anajifanya kupepesa macho kama vile hajawaona, wasingida hongerani huyu jamaa aende kumpa ushauri shemeji yake Lowasa sisi hatutaki hata kumsikia. Atakula jeuri yake, tunamshukuru jaji pia na mungu amefanya tena, hivi leo msomi mzima unanganganiana na magamba kwa wananchi waliokwisha kukukataa, nasikia katumia hela nyingi sana ndio anataka kwenda bungeni kuingizwa kwenye kamati za kutuibia. haha hahah imekula kwake, mungu ibariki Tanzania