Mkojologist
New Member
- Aug 8, 2011
- 4
- 0
We ndo mautumbo ya bata kabisa..kupata div 1 ndo akili?? Na division 1 zenu mnafanya kazi mshahara laki 7..watu na hizo div 3 wana kazi za maana mshahara 6m .... Jk ana gpa ya 2.3 mbona leo rais!!
Division ndiyo hutumika kama kipimo cha ufaulu wa mtihani na huakisi uelewa wa mtu(akili). Hivyo suala la div1 ndiyo akili nakubaliana nalo na iwapo imepatikana kihalali. Suala la laki 7 kwa div 1 na 6M kwa div 3, hakuna uhusiano wa moja kwa moja kati ya mshahara na division,pia mshahara hutegemea vipaumbele vya mwajiri,na kama vipaumbele ni vibovu basi ustawi wa jamii hukwama nk nk...na ndiyo nchi yetu ilipo sasa.